Anguko la Nyani Ngabu

Una kiingereza murua sana nifanyeje nikufikie ata robo yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ndio sifa pekee iliyokuwa inamtambulisha ndugu Ngabu ila inaenda kupotea taratibu maana kuna wengine kama Paulo Sergio nani sijui nae anatema kikristo kama hana akili nzuri.
 
Huyu paulo kaenda wapi siku hizi? Long time sijamuona
 
Hapana bhana usidanganye uma mliambiwa mtoe elfu 30 ndo mpewe hiyo heshima sio kweli kwamba mmepewa kulingana na michango yenu.
Hiyo elfu 30 unayoikashifu, ndio inakufanya hata wewe uendelee kuwepo jf.
Hivyo heshimu juhudi za watu.
 
American boy wata bado wanakungumzia. Hapo umemaliza wamekuelewa ndio maana bado upo kwenye fikra zao. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ila Hence amepresent takwimu.
Hata hivyo upepo huwa haukai sehemu moja. Kuna mada flani hivi zinawagusa watu flani kuchangia sana. Zinapokesekana hawachangii sana na hawawezi kupata likes nyingi. Mfano upepo wa mada za humu kwa kipindi hiki kwa watu kama infantry soldier, le devise, Moshe dayani etc haziwagusi sana labda ni sawa na Ngabu.
Pia ni sawa na Koba, Bakyanandi na wale jamaa wa mada za Rwanda na Burundi na wenzake wale bila mada zao utadhani kama hawapo vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…