Anguko la Nyani Ngabu

Hahahaaaa

The fact that umenianzishia thread ni ushahidi tosha kwamba umeniwaza.

Na kama umeniwaza basi bado niko relevant.

Thank you for being a dedicated card-carrying member of my fan club!

Happy weekend.
Ngoja nikupe likes mkuu lakini najua soon utakula red card ya Trump na utarudi nyumban
 
unakaribia kumfunika kwa umaarufu.
Nyani Ngabu umaarufu siwezi kumzidi labda niingie mpaka majukwaa ya siasa.

Mshana jr labda anatake over kwasasa.

Ni watu niliokuwa nawasoma kabla ya kuingia JF. Nakumbuka eti kuna kipindi wanaanzisha mada ya kulinganisha akili za wana JF wanaoishi USA na wa Ulaya hahaha.

Ila hance na wewe naona mambo sio mabaya.
 
Mtu kuwa JF since 2006 na bado yupo active ni respect.

JF kuna huyo jamaa ruta. Haha ni nooma kwenye post. Nahisi anapost kila dk.
Huku naruhusiwa kukusalimia???
Ban nasikia ziko nyuma ya kila post....

We ndo najua uko maarufu bhana, achana na malikes yao....
 
Huku tunasalimiana. Vipi upo.

Likes mwenyewe unazakutosha elfu 20 na kitu. Hongera
Nipo, sema ubusy ndo mwingi...

Siku hizi salam tuu ban, naogopa ujue..
Ila Shkamo shem...

Hahaaa, wee hongera kwa lipi.. Punguza zereu bhana
 
Nipo, sema ubusy ndo mwingi...

Siku hizi salam tuu ban, naogopa ujue..
Ila Shkamo shem...

Hahaaa, wee hongera kwa lipi.. Punguza zereu bhana
Ban hakuna bwana.

Sio zerau. Wewe maarufu pia eti. Ujue kila mtu anaumaarufu wake haha. Sasa mtu unalikes 27 wewe si maarufu means unapewa likes saana.

Nipe basi na mimi like hapo juu
 
Ban hakuna bwana.

Sio zerau. Wewe maarufu pia eti. Ujue kila mtu anaumaarufu wake haha. Sasa mtu unalikes 27 wewe si maarufu means unapewa likes saana.

Nipe basi na mimi like hapo juu
Teh teh teh

Yaani raha kweli kuwa na mtu maarufu ka wewe bhana ni kama vile nachat na Obama...
 
Humu JF watu wana comment kila dakika ili siku moja wawazidi wengine kwa posts, likes na idadi ya messages?

I propose ianzishwe JF award best man and woman of the months/year.

JF itakuwa zaidi ya Opium.
 
Teh teh teh

Yaani raha kweli kuwa na mtu maarufu ka wewe bhana ni kama vile nachat na Obama...
Haha..hivi shem kwa hiyo ndiyo umeamua kunitania eeh!

Kwa unanipa feki kunipim kama nitajishaua siyo. Wacha nikuombee ban kwa mod
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…