chinekeeee
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,787
- 2,894
Tatzo siku hizii mkuu umeegea sana kule kwa nancy wa raha tup.....naoana una ma video kbsa kuleHahahaaaa
The fact that umenianzishia thread ni ushahidi tosha kwamba umeniwaza.
Na kama umeniwaza basi bado niko relevant.
Thank you for being a dedicated card-carrying member of my fan club!
Happy weekend.
Hata mm nimehisi hivyo kafanya yale aliyofanya yule miss tz mtoto wa mbungeMzushi tu huyo.Umri wake ni 35+.Hawezi kutuambia alijiunga na jamii forums by then jambo forums akiwa na 16 .Naikumbuka vizuri jambo forums ,haikuwa na mambo ya kitoto kama hivi sasa.Hakuna mtoto aliyejiunga na Jambo forums wakati huo.Nilikuwa member wa jambo forums baadae nikaja na ID mpya ikiwa jamii forums hivyo naifahamu vizuri aache uzushi,anakaribia umri wa makamo huyo jamaa.
Naujua ule uziYupo mwingine huyo aliyempiku ngabu pale juu Rutashubanyuma ana Uzi wake huwa an a comment mwenyew tu!
Ukicomment kwa kiswahili unaambiwa English only!
Unakichwa kinaitwa" Why magufuli administration misses some point of......."
Nilimuogopa sana baada ya kusoma ule uzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzushi tu huyo.Umri wake ni 35+.Hawezi kutuambia alijiunga na jamii forums by then jambo forums akiwa na 16 .Naikumbuka vizuri jambo forums ,haikuwa na mambo ya kitoto kama hivi sasa.Hakuna mtoto aliyejiunga na Jambo forums wakati huo.Nilikuwa member wa jambo forums baadae nikaja na ID mpya ikiwa jamii forums hivyo naifahamu vizuri aache uzushi,anakaribia umri wa makamo huyo jamaa.
Sitti MtemvuHata mm nimehisi hivyo kafanya yale aliyofanya yule miss tz mtoto wa mbunge
anakujambisha tu! usiogope mzee wa kazi, mtu akiona kama wewe ni platinum member fasta anaelewa mchezoHahahaaaa
The fact that umenianzishia thread ni ushahidi tosha kwamba umeniwaza.
Na kama umeniwaza basi bado niko relevant.
Thank you for being a dedicated card-carrying member of my fan club!
Happy weekend.
Unamsujudia [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]anakujambisha tu! usiogope mzee wa kazi, mtu akiona kama wewe ni platinum member fasta anaelewa mchezo
Tatzo siku hizii mkuu umeegea sana kule kwa nancy wa raha tup.....naoana una ma video kbsa kule
Nina uhakika ID yako ingekuwa ya miaka ya hivi karibuni hakuna mtu ambaye angekuwa anakujua [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Duh...mshafika ukurasa wa 6?
And somebody has the gall to talk about my downfall?
What downfall....? Hahaaaa
But thank you so much guys.
I really appreciate you all for being my fans for all these years.
Y'all mean the world to me. Y'all are my extended family.
USA baby.....
wewe kama umeweza kumfungulia uzi wake specialUnamsujudia [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
kumbe una battle nae!Umeona wapi mafahari wawili wakakaa zizi moja ??
Kwa sasa nina jina kuliko huyo Monkey Ngabu
Kwani unadhani najali kama kuna mtu ananijua au la?Nina uhakika ID yako ingekuwa ya miaka ya hivi karibuni hakuna mtu ambaye angekuwa anakujua [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
SawaKwani unadhani najali kama kuna mtu ananijua au la?
Nyani Ngabu ni ID ya humu tu.
Kama ningetaka kujulikana basi ningekuwa natumia jina nililopewa na baba na mama.
Sinufaiki na chochote endapo watu wakiijua ID ya NN.....
Jamaa ni vampire toka ikungulyabashashi[emoji1]Kumbe Nyani Ngabu ni 27? Mi nilidhanigi ni mzee mmoja zaidi ya miaka 50 huko
Hance, upo vizuri. Zaidi ya kiingereza, kichwani hamna kitu. Ni chuki tu ndiyo anahisi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ndio sifa pekee iliyokuwa inamtambulisha ndugu Ngabu ila inaenda kupotea taratibu maana kuna wengine kama Paulo Sergio nani sijui nae anatema kikristo kama hana akili nzuri.
Hahahaha. Kweli bora Faiza.NyaniNgabu wakawaida sana..bora bibi yetu Faiza
Kuna jamaa kanishtua humu. Nyani katuma clip rahatupu analabua mzungu. Tena heading inasema, Nyani N akimla mzungu. Huyu ndiye JF GT.Umaarufu wake unazidi kufifia kila kukicha
Hahahaha. Wanakuwa wapole wakirudi.Ngoja nikupe likes mkuu lakini najua soon utakula red card ya Trump na utarudi nyumban