Anguko la Nyani Ngabu

Anguko la Nyani Ngabu

Hahahaaaa

The fact that umenianzishia thread ni ushahidi tosha kwamba umeniwaza.

Na kama umeniwaza basi bado niko relevant.

Thank you for being a dedicated card-carrying member of my fan club!

Happy weekend.
Tatzo siku hizii mkuu umeegea sana kule kwa nancy wa raha tup.....naoana una ma video kbsa kule
 
Mzushi tu huyo.Umri wake ni 35+.Hawezi kutuambia alijiunga na jamii forums by then jambo forums akiwa na 16 .Naikumbuka vizuri jambo forums ,haikuwa na mambo ya kitoto kama hivi sasa.Hakuna mtoto aliyejiunga na Jambo forums wakati huo.Nilikuwa member wa jambo forums baadae nikaja na ID mpya ikiwa jamii forums hivyo naifahamu vizuri aache uzushi,anakaribia umri wa makamo huyo jamaa.
Hata mm nimehisi hivyo kafanya yale aliyofanya yule miss tz mtoto wa mbunge
 
Mzushi tu huyo.Umri wake ni 35+.Hawezi kutuambia alijiunga na jamii forums by then jambo forums akiwa na 16 .Naikumbuka vizuri jambo forums ,haikuwa na mambo ya kitoto kama hivi sasa.Hakuna mtoto aliyejiunga na Jambo forums wakati huo.Nilikuwa member wa jambo forums baadae nikaja na ID mpya ikiwa jamii forums hivyo naifahamu vizuri aache uzushi,anakaribia umri wa makamo huyo jamaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaaa

The fact that umenianzishia thread ni ushahidi tosha kwamba umeniwaza.

Na kama umeniwaza basi bado niko relevant.

Thank you for being a dedicated card-carrying member of my fan club!

Happy weekend.
anakujambisha tu! usiogope mzee wa kazi, mtu akiona kama wewe ni platinum member fasta anaelewa mchezo
 
Duh...mshafika ukurasa wa 6?

And somebody has the gall to talk about my downfall?

What downfall....? Hahaaaa

But thank you so much guys.

I really appreciate you all for being my fans for all these years.

Y'all mean the world to me. Y'all are my extended family.

USA baby.....
 
Nina uhakika ID yako ingekuwa ya miaka ya hivi karibuni hakuna mtu ambaye angekuwa anakujua [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Nyani ngabu ni kama arsene wenger,,, mda umewaacha
 
Nina uhakika ID yako ingekuwa ya miaka ya hivi karibuni hakuna mtu ambaye angekuwa anakujua [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwani unadhani najali kama kuna mtu ananijua au la?

Nyani Ngabu ni ID ya humu tu.

Kama ningetaka kujulikana basi ningekuwa natumia jina nililopewa na baba na mama.

Sinufaiki na chochote endapo watu wakiijua ID ya NN.....
 
Sawa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ndio sifa pekee iliyokuwa inamtambulisha ndugu Ngabu ila inaenda kupotea taratibu maana kuna wengine kama Paulo Sergio nani sijui nae anatema kikristo kama hana akili nzuri.
Hance, upo vizuri. Zaidi ya kiingereza, kichwani hamna kitu. Ni chuki tu ndiyo anahisi.
 
Back
Top Bottom