Anguko la Samia, 70% limesababishwa na matendo ya Faustine Mafwele

Anguko la Samia muuwaji lilianzia kwa chuki zake kwa magufuri
 
Sio kweli mafwele yeye anafuta order ya mkuu wake hawezi kujiamulia mambo bila kupewa signal kutoka kule kwenye kiti
 
Huyo sijawahi kumsikia
Ila huyu maza ni laana shumakar ananuka damu za watu wengi sana!
Alimchora picha Samia kisha akaitia kiberiti ndio lilikuwa kosa lake eti aliutwa dionizi kipanya
 
na tatizo lake kuwa ni ELIMU DUNI ule uwezo wa kutathmini anacholetewa mezani pros na cons hana, ni BENDERA FUATA UPEPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…