Quinn
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 473
- 1,184
Nchi ya Kenya imekuwa kinara wa uchumi kwa muda mrefu kwenye ukanda huu wa EAC lakini hali yake inazidi kuwa mbaya kadri ya siku zinavyozidi kusogea ukilinganisha na majirani zake ambao wanakuja juu:-
1. Deni kubwa la Kenya ambalo limechangiwa na ujenzi wa SGR ambalo linaipeleka Kenya kutokukopesheka.
2. Ufisadi uliokithiri ambapo mafisadi wanahujumu uchumi wa Kenya kupitia miundo mbinu
3. Bajeti ya Kenya kukosa pesa za kuitekeleza na hivyo imepelekea makampuni ya serikali 26 kutangazwa kuuzwa ili ipatikane pesa ya kuitelekeza bajeti yao
4. Taasisi kubwa za Duniani kukataa kuikopesha Kenya baada ya kuona kuna uwezekano mkubwa wa Kenya kushindwa kuirudisha pesa hiyo baada ya kukithiri kwa madeni makubwa hasa kutoka kwa China
5. Uzalishaji wa Mazao ya chakula umeshuka maradufu na kusababisha kutumia pesa za kigeni kuingiza chakula.
6. Viongozi wa kisiasa wanazidi kuihujumu Kenya baada ya kuona nchi hyo inaelekea kufilisika na hivyo kuwahi vya kwao mapema.
7. Reli ya SGR imeonekana kushindwa kufika mpakani kwa Uganda na Kenya (Malaba) baada ya China kugoma kutoa fedha za kumalizia mradi huo na hvyo kuifanya Kenya kuangaika jinsi ya kurudisha fedha hio kwani ilitegemea mizigo ya nje kwakuwa ya ndani haitoshi.
8. Kukosa ushirikiano mzuri wa kibiashara na jirani zake ambao wanaonekana kuja kasi
Ni muda huu Kenya kuanza kupita kwa majirani zenu kujifunza na kuomba ushirikiano ili kuinusuru Kenya na sio kuwathamini wamarekani na wazungu wengine kana kwamba hao ndio wakombozi wenu...Africa itajengwa na waAfrica...msipo angalia kinaenda kuwakuwa kilichawapata Greece or Sri lanka