Anguko la Wema Sepetu

Nakubaliana na wewe 100% kuhusu Wema lakini hata huyo Hamisa ni matter of time atamjoin Wema. Sioni biashara endelevu aliyonayo itakayoweza kumlinda in future. Short-term deals, Sponsorships, maduka ya nguo ni seasonal.
 
Mbona huko kudanga kwao sasa ni utumwa aisee u risk maisha na papuchi bwawa kwa hela mbuzi si Bora tu ujishighulishe na hapo bado kulalwa na wanaume wa tofauti tofauti wanaokupa tu gundu.
Hafu kwanini ukae kwa apartment ghali huku ukitegemea uchi loh
 
[emoji848][emoji87]aiseee bora uuze hata karanga tu! Looo[emoji119]
 
Binamu,huwa hatuwaiti waganga bali wanaitwa wataalamu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani shule si ya kila mtu, wengine wanamaliza form IV hawajui kuandika essays. Waangalie kipaji cha Paula kama ni kupika au charahani wamuendeleze.
Kabisaaa kashasema anapenda mambo ya fashion na modelling ni bora wampeleke hukoo!!!
 
Dubai wapi bwana
Andaa show money ya kuzubaishia, kabla hajashtuka ulishampulia kisogoni
 

Kuna nargis Mohamed
 
Nakubaliana na wewe 100% kuhusu Wema lakini hata huyo Hamisa ni matter of time atamjoin Wema. Sioni biashara endelevu aliyonayo itakayoweza kumlinda in future. Short-term deals, Sponsorships, maduka ya nguo ni seasonal.

Very true
 
Dah,nahisi hata hizo "K" zao hamna kitu basi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nilidhani page yake wame hack, kumbe yeye anatangaza kweli lol,
Maskini wema ndo kaishia huku khaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hela haiachwi hata kama buku
 
Diamond muonee huruma Wema ana mchango katika maisha yako, msitiri hata kwa kumfungulia duka Kariakoo auze nguo za jumla , atakushukuru Sana maana kwasasa yupo level na kina Amberutty ,yaani Hamisa yupo level nyingine kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…