Anguko la Wema Sepetu

Anguko la Wema Sepetu

Elimu ndio kila kitu especially umri ukisogea, aangalie akina Joyce Temu na JoJo kama unavyosema au wengi tu akina Sylvia Bahame etc walipoacha ujana elimu zimewabeba sana.

Kajala ni shuleless na anampoteza mwanae kweupe kabisa wakati yeye ameshaona effect ya kutoweka akiba ya elimu .

Binti anaweza kuendelea na mambo ya ujana sababu umri unamruhusu Ila isimfanye apoteze thamani yake kwa kufanya ujinga na kuishia kwenye bongo muvi especially sasa wanataka kuanzisha reality show yao ambayo maana yake binti ndio shule baibai.

Well, wacha aiuze maana wadau tupo na nakavizia kashuke bei kidogo [emoji2] sasa hivi mambo ya kupelekana Dubai tunawaachia wenye viherehere kwanza.
Unajua kila mtu anafanya ujana, Ila wengi hufanya kisiri Siri na maisha kuendelea ikiwemo na hyo shule, sasa huyu mapema anajiweka cheap kutoka na kina rayvan soko lenyewe liko saturated ka Nini, na yeye kajiona kafika na watu wamwonea wivu, nikikumbuka enzi za wema sepetu alivo kuwa hot cake in town alichezea ujana sasa hivi hana mbele Wala nyuma na madanga yamekula corner zao.
Hata huyo kajala mambo magumu ndio maana anajiachia kutafta market
 
Elimu ndio kila kitu especially umri ukisogea, aangalie akina Joyce Temu na JoJo kama unavyosema au wengi tu akina Sylvia Bahame etc walipoacha ujana elimu zimewabeba sana.

Kajala ni shuleless na anampoteza mwanae kweupe kabisa wakati yeye ameshaona effect ya kutoweka akiba ya elimu .

Binti anaweza kuendelea na mambo ya ujana sababu umri unamruhusu Ila isimfanye apoteze thamani yake kwa kufanya ujinga na kuishia kwenye bongo muvi especially sasa wanataka kuanzisha reality show yao ambayo maana yake binti ndio shule baibai.

Well, wacha aiuze maana wadau tupo na nakavizia kashuke bei kidogo [emoji2] sasa hivi mambo ya kupelekana Dubai tunawaachia wenye viherehere kwanza.
Hivi slyvia bahame Yuko wapi never heard of her for many years .

Richa adhia ,Angela damas wamepotelea wapi Hawa walimbwende .
 
Sylvia akimaliza UDSM law mwaka 2006 na anapiga kazi town amejizalia watoto maisha yanasonga.

Angela Damas aliolewa pia akimaliza UDSM akawa muda fulani anafanya Voda then akahamia wapi sijui Ila Yuko poa life ya uzeeni inaenda poa maana shule anayo.

Kuna mwingine alikuwa anaitwa sijui nani Jensen nae alikuwa mkali sana aliajiriwa Voda nadhani nae anapiga ishu zake professionally maana hayuko kwenye media.

Richa Adhia nahisi wahindi wenzie walimpa shavu.

Hawa ni mabinti ambao walijua kuweka akiba ya shule. Ulimbwende huwa unaisha sasa usipotumia ulimbwende kupata kazi nzuri siku ukiisha unabaki kama Wema tu analiwa Hadi na wajinga hajielewi mpaka leo yeye anasema ana miaka 28.

Hana namna maana papuchi ishakuwa loose.
 
Elimu ndio kila kitu especially umri ukisogea, aangalie akina Joyce Temu na JoJo kama unavyosema au wengi tu akina Sylvia Bahame etc walipoacha ujana elimu zimewabeba sana.

Kajala ni shuleless na anampoteza mwanae kweupe kabisa wakati yeye ameshaona effect ya kutoweka akiba ya elimu .

Binti anaweza kuendelea na mambo ya ujana sababu umri unamruhusu Ila isimfanye apoteze thamani yake kwa kufanya ujinga na kuishia kwenye bongo muvi especially sasa wanataka kuanzisha reality show yao ambayo maana yake binti ndio shule baibai.

Well, wacha aiuze maana wadau tupo na nakavizia kashuke bei kidogo [emoji2] sasa hivi mambo ya kupelekana Dubai tunawaachia wenye viherehere kwanza.

Daaah! broo Bondpost ulivyomtaja huyu #Slvia Bahame
Umenifanya nitake kuona sura yake japo ximjui maana ninekua nikisikia akisifiswa na marapa wa Bongo Akiwemo Jay Mo, Ngwear
 
Alikuwa mashine Kali sana Ila hakuwa amekonda enzi tupo Mabibo nilipata kuvinjari kidogo 😃 baadae akazalishwa na jamaa flani anakaa mbezi beach mshkaji tu .

Sylvia kwao hawana shida na amekaa nje toka utotoni babake alikuwa jeshini Saudi Hana shida kabisa kwao pale karibu na mbuyuni kama unaenda kunduchi nyuma ya kiwanda cha PEMACO.

Mnyamwezi sana na mtamu aisee sema alikuwa anagonga fegi balaa Ila disminder kabisa

Just enter Facebook andika Sylvia Bahame au Google utamuona
 
Hadi umeandika "mxeeiw"!!
Wewe ni me au ke?
Samahani kwa kuuliza lakini!
 
Sylvia akimaliza UDSM law mwaka 2006 na anapiga kazi town amejizalia watoto maisha yanasonga.

Angela Damas aliolewa pia akimaliza UDSM akawa muda fulani anafanya Voda then akahamia wapi sijui Ila Yuko poa life ya uzeeni inaenda poa maana shule anayo.

Kuna mwingine alikuwa anaitwa sijui nani Jensen nae alikuwa mkali sana aliajiriwa Voda nadhani nae anapiga ishu zake professionally maana hayuko kwenye media.

Richa Adhia nahisi wahindi wenzie walimpa shavu.

Hawa ni mabinti ambao walijua kuweka akiba ya shule. Ulimbwende huwa unaisha sasa usipotumia ulimbwende kupata kazi nzuri siku ukiisha unabaki kama Wema tu analiwa Hadi na wajinga hajielewi mpaka leo yeye anasema ana miaka 28.

Hana namna maana papuchi ishakuwa loose.

Lisa Jensen.
 
Yani wema alitumia vibaya zama zake aisee mbona hamisa ni mama wawili na amepata akili na anasonga mbele milango inazidi tu kufunguka
Hamisa mwenyewe alikua anaharibu mwanzo ile kuchambwa chambwa na kina Mange na original east vilimshtua sana ila mwanzo alikalia umaarufu kunuka anategemea majay amuwezeshe mpk alipomtimua kwenye nyumba yake Diamond akaenda kumpangia alivoona mambo magumu Dai haeleweki akashtuka uzuri ameshtuka mapema kwa sasa anafanya poa.

Wema hana washauri wazuri wanamsifu kinaafiki ukimuambia ananua mpk duka limemshinda la nguo pale Mwananyamala kakodi Mobeto sasa hivi ila bora atangaze apate hela ya kula.

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Yule binti atakuja kujutia huu ujana anaouchezea. Mama yake anamuexpose kwenye mambo ya kishenzi sababu tayari yeye ameshachuja na Hana namna ya kujiweka kimjini bila huyo mtoto anayemuuza bila kujali future ya mwanae.
Kajala ni the worst mom ever hana tofauti na wamama wa uswazi wasiojielewa wanaotafutia watoto wao wanaume ukweli K kashamshindwa mtoto yaani kutoka kwa vyanzo makini kabisa Mingo zote za K Paula anazijua

Back
Top Bottom