Anguko la Yanga limechangiwa na Eng Hersi mwenyewe na GSM kuwa na tamaa ya madaraka ya kisiasa mwaka 2025

Haya sasa Hersi kamleta Mwenda muda utaongea
1) umekosa tu cha kuandika, kazi ya hersi ni kutoa ela ya usajili ila wakumsajili ni kutokana na mapendekezo ya benchi la ufundi, kila timu kuna kamati ya benchi la ufundi ndo wanaona nani anafaa kusajili eng kazi yake kutekeleza huo usajili

2) yanga haijabadilika sana, wachezaji hawa hawa ndo waliobeba ligi na kwenda nusu fainali club bingwa ulitakiwa kusema timu imechoka sio eng tena
 
Kaazi ya GSM ni ipi

?
 
Sasa mbona umeandika Hersi ndio mtoa pesa?
kwan hersi hujui ni kiiongozi Gsm ama unatchora apa? alafu yanga inendeshwa na GSM sio mtu mmoja, serikali hairuhusu timu kuendeshwa na mtu binafsi
 
Back
Top Bottom