Anguko la Yanga

Unajisikiaje SAA hizi?
 
Wenye nafasi yao tayari wameshakaa kileleni. Hivyo mateso na maumivu yako palepale. Na kama huwezi kuvumilia, kunywa sumu ufe.

Taarabu tu hizo,ngoja mkutane na team inafunguka sio kuweka block
 
Simba Ina MATATIZO mengi kuanzia.
1. Golikipa

2. Beki wa pembani

3. Beki mbadala WA Inonga

4.kiungo Cha Ukabaji,

5. kiungo 8,

6 na MBADALA WA Baleke.

Naona Simba ikiwaacha wachezaji WAFUATAO.
AYOUB Lakred.
Sadio Kanute.
Aubin kramo.
Luis MIQUISSONE.
Moses phili
Hawa wachezaji kwa sasa ni Mizigo.

Mo ni Tapeli sana
 
YANGA Haina.

1. Kiungo mkabaji Jamii ya Bangala mbadala WA Aucho6 .
Pia Aucho ni mzuri zaidi Akicheza juu 8.q1

2.yanga hawana MSHAMBULIAJI no 9.
MBADALA WA Fiston Kalala Mayele.

Wakifika Makundi ndipo wataona madhaifu Yao YOOTE.

Saizi WANAOJUA ni wenye akili wawili tu.
 
Nimeiona hoja yako Kwa timu zote 2 na nakubaliana nazo zote 2 japo Nina masahihisho kidogo.
Sioni tatizo la Moses Phiri zaidi ya kuchezeshwa wrong position. Simuoni Mose akifit kama natural striker kama mashabiki na kocha anavyomtumia kama ilivyotokea Jana kuwa mbadala wa Boko. Waliobaki kwenye orodha yako ni suala la Muda tu maana usajili wa Miquisone na Skudu ni wa show off.
Kuhusu Aucho binafsi namuona kweli si mkata umeme asili Ila pia No.8 yake itapwaya kutokana na Aina yake ya uchezaji. Ndo maana naona akishine zaidi akitengeneza pembe Tatu ya chini akisaidiwa ukabaji na mchezaji mwingine.
Kwa Sasa hata Yanga wenyewe wanajua hawana No.9 Kariba ya Mayele Kwa sababu walichelewa kuingia sokoni wakati wanaendelea
Kumshawishi abaki wakashindana dakika za mwisho Pyramid walipopandisha Dau la mashahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…