Anguko la Yanga

Anguko la Yanga

Wakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.

Yafuatayo ni maeneo yenye walakini kwa Yanga.

1.Safu ya ushambuliaji-Bado yanga inashida kupata mshambuliaji wa aina ya mayele au anaemfikia walau hata nusu. Safu hii ilibebwa sana na Mayele ambae alikua na idadi kubwa kuwazidi washambuliajinwenzake kama msonda na mzize. Ingizo ka Konkoni bado halijaleta mwanga sababu bado hajapewa nafasi ni bora akapewa nafasi ili kupima uwezo wake na kufanya maamuzi kabka dirisha la usajili halijafungwa. Ikitokea likapuuziwa yanga atapata shida mapaja dirisha dogo na timu itakua imeanguka kwenye nafasi yake ha hata kutoka katika mashindano muhimu ya CAF champ.

2.Mbadala wa Bakari ndondo na Aucho. binafsi naona Hawa ni wachezaji muhimu kwenye nafasi zao lakini hakuna mbadala wao hivyo timu itakua kwenye shida endapo itatokea wana tumikia adhabu au majeruhi.

Simba ameamnza kujitibu taratibuu lakini uzuri anajua shida yake na ameanza kuchukua hatua

Mlimda mlango

Beki wa Kati mbadala wa Inonga

Kiungo mkabaji

Nawasilisha maoni yangu Yanga iamke.
Unajisikiaje SAA hizi?
 
Simba Ina MATATIZO mengi kuanzia.
1. Golikipa

2. Beki wa pembani

3. Beki mbadala WA Inonga

4.kiungo Cha Ukabaji,

5. kiungo 8,

6 na MBADALA WA Baleke.

Naona Simba ikiwaacha wachezaji WAFUATAO.
AYOUB Lakred.
Sadio Kanute.
Aubin kramo.
Luis MIQUISSONE.
Moses phili
Hawa wachezaji kwa sasa ni Mizigo.

Mo ni Tapeli sana
 
YANGA Haina.

1. Kiungo mkabaji Jamii ya Bangala mbadala WA Aucho6 .
Pia Aucho ni mzuri zaidi Akicheza juu 8.q1

2.yanga hawana MSHAMBULIAJI no 9.
MBADALA WA Fiston Kalala Mayele.

Wakifika Makundi ndipo wataona madhaifu Yao YOOTE.

Saizi WANAOJUA ni wenye akili wawili tu.
 
YANGA Haina.

1. Kiungo mkabaji Jamii ya Bangala mbadala WA Aucho6 .
Pia Aucho ni mzuri zaidi Akicheza juu 8.q1

2.yanga hawana MSHAMBULIAJI no 9.
MBADALA WA Fiston Kalala Mayele.

Wakifika Makundi ndipo wataona madhaifu Yao YOOTE.

Saizi WANAOJUA ni wenye akili wawili tu.
Nimeiona hoja yako Kwa timu zote 2 na nakubaliana nazo zote 2 japo Nina masahihisho kidogo.
Sioni tatizo la Moses Phiri zaidi ya kuchezeshwa wrong position. Simuoni Mose akifit kama natural striker kama mashabiki na kocha anavyomtumia kama ilivyotokea Jana kuwa mbadala wa Boko. Waliobaki kwenye orodha yako ni suala la Muda tu maana usajili wa Miquisone na Skudu ni wa show off.
Kuhusu Aucho binafsi namuona kweli si mkata umeme asili Ila pia No.8 yake itapwaya kutokana na Aina yake ya uchezaji. Ndo maana naona akishine zaidi akitengeneza pembe Tatu ya chini akisaidiwa ukabaji na mchezaji mwingine.
Kwa Sasa hata Yanga wenyewe wanajua hawana No.9 Kariba ya Mayele Kwa sababu walichelewa kuingia sokoni wakati wanaendelea
Kumshawishi abaki wakashindana dakika za mwisho Pyramid walipopandisha Dau la mashahara.
 
Nipo hapa mtakuja kunikumbuka
Tumekuja
IMG-20231105-WA0028.jpg
 
Back
Top Bottom