Anguko la Yanga

Anguko la Yanga

The Legacy

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
5,879
Reaction score
11,318
Wakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.

Yafuatayo ni maeneo yenye walakini kwa Yanga.

1.Safu ya ushambuliaji-Bado yanga inashida kupata mshambuliaji wa aina ya mayele au anaemfikia walau hata nusu. Safu hii ilibebwa sana na Mayele ambae alikua na idadi kubwa kuwazidi washambuliajinwenzake kama msonda na mzize. Ingizo ka Konkoni bado halijaleta mwanga sababu bado hajapewa nafasi ni bora akapewa nafasi ili kupima uwezo wake na kufanya maamuzi kabka dirisha la usajili halijafungwa. Ikitokea likapuuziwa yanga atapata shida mapaja dirisha dogo na timu itakua imeanguka kwenye nafasi yake ha hata kutoka katika mashindano muhimu ya CAF champ.

2.Mbadala wa Bakari ndondo na Aucho. binafsi naona Hawa ni wachezaji muhimu kwenye nafasi zao lakini hakuna mbadala wao hivyo timu itakua kwenye shida endapo itatokea wana tumikia adhabu au majeruhi.

Simba ameamnza kujitibu taratibuu lakini uzuri anajua shida yake na ameanza kuchukua hatua

Mlimda mlango

Beki wa Kati mbadala wa Inonga

Kiungo mkabaji

Nawasilisha maoni yangu Yanga iamke.
 
Mpira hujui wewe nafasi ya bakari nondo huoni wa kuiziba unajua Yanga ina beki wangapi ambao wanacheza beki ya kati?
Unaongelea habari ya Konkoni ambae hajacheza hata dakika kumi na tano kwa mechi zote mbili unaweza jua ubora wake kweli?
Yanga kama ingeshindwa kujitambua nafikiri ingebaki na Mzize na Musonda kwann imemleta Konkoni?amekuja kuziba pengo la Nan kama timu inaona iko sawa tu?
Acha mihemko jifunze mpira.
 
Nikiona mtu anatoa povu kisa boli huwa naona kama sjui n mtu gan ....
Whatever the performance the guys wl be paid ..but wat about your family??
Ukiachana na utumbo wa mleta mada. Hii comment yako ni utumbo namba mbili. Hata kama sifaidiki kifedha sisi ndio burudani yetu, tunapopata muda wa kupumzika hatutaki kuongelea upuuzi wa siasa tunakuja kwenye michezo kupata birudani na kupooza mioyo baada ya mihangaiko.
 
Wakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.

Yafuatayo ni maeneo yenye walakini kwa Yanga.

1.Safu ya ushambuliaji-Bado yanga inashida kupata mshambuliaji wa aina ya mayele au anaemfikia walau hata nusu. Safu hii ilibebwa sana na Mayele ambae alikua na idadi kubwa kuwazidi washambuliajinwenzake kama msonda na mzize. Ingizo ka Konkoni bado halijaleta mwanga sababu bado hajapewa nafasi ni bora akapewa nafasi ili kupima uwezo wake na kufanya maamuzi kabka dirisha la usajili halijafungwa. Ikitokea likapuuziwa yanga atapata shida mapaja dirisha dogo na timu itakua imeanguka kwenye nafasi yake ha hata kutoka katika mashindano muhimu ya CAF champ.

2.Mbadala wa Bakari ndondo na Aucho. binafsi naona Hawa ni wachezaji muhimu kwenye nafasi zao lakini hakuna mbadala wao hivyo timu itakua kwenye shida endapo itatokea wana tumikia adhabu au majeruhi.

Simba ameamnza kujitibu taratibuu lakini uzuri anajua shida yake na ameanza kuchukua hatua

Mlimda mlango

Beki wa Kati mbadala wa Inonga

Kiungo mkabaji

Nawasilisha maoni yangu Yanga iamke.
ukocha ulisomea wapi?
 
Utumbo mtupu, Labda tukutajie mbadala wa hao wachezaji unaosema, mbadala wa mwamnyeto ni gift fred au dicksoni jobu, mbadala wa aucho ni pacome zouzou au abubakar salum, labda kama una jingine lilete
 
Utakumbukwa kwa kusema usilolijua..
Yanga ina uongozi mahiri na unaojitambua ndio maana unaona bado hawajatulia wanahangaika na kuchwa kutwa unasikia tetezi za msuva mara makabi hii yote ni kujua nin Yanga inatafuta na inahitaji kufika wapi.

Tuweke akiba ya maneno
 
Hii Yanga ni mbovu sana

Timu Haina fowadi Wala kiungo Mtengenezaji wa magoli
Weka takwimu basi, timu haina foward wala kiungo mtengenezaji magoli.
1) mechi ya Yanga vs Simba, timu ya Yanga ndio timu iliyotengeneza nafasi nyingi za magoli kuliko Simba, je hao viungo waliazimwa kutoka timu nyingine?
2) unasema kuwa Yanga haina viungo watengenezaji, lakini mpaka sasa Yanga imecheza michezo minne, ikiwa imefunga magoli matano huku ikitengeneza nafasi zaidi ya 15 za magoli
3) Yanga magoli matano wameyapataje kama hakuna wafungaji
 
Back
Top Bottom