chriss brown
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 292
- 63
Nampenda sana,ananichukulia mimi kaka yake jamani.Mnafanyaje wenzangu kutoa hali ya ukaka na udada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuna gear, basi hata mimi na gear nakosea hapo kwako, itabidi unasaidie namna ya kuziingiza :biggrin:Yategemea ulimwingilia na gear gani ?
jamani mueleze ulichonacho moyoni jibu lake ndo linaweza kuondoa huo ukaka na udada hapo vip u can make it:juggle:Nampenda sana,ananichukulia mimi kaka yake jamani.Mnafanyaje wenzangu kutoa hali ya ukaka na udada?
..kongosho ashakueleza na usiposikia nakwambia UTAYATUMIKIA MAPENZI MAISHA YAKO YOTE..elewa hisia zake tafadhari na nadhani hana feelings zozote nawe,angalizo hata ukijapewa k yake,ujue kafanya kwa huruma tu au ni matokeo ya mwili wake kureack akati we uko karibu..bt maisha yako nje huku achana na huyo bt usiache kumsaidia masomo eeh!!..manake nalipa ada umesikia?..
Nampenda sana,ananichukulia mimi kaka yake jamani.Mnafanyaje wenzangu kutoa hali ya ukaka na udada?