Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,644
- 20,009
Shida yako unaishi kwa kukariri vitu.Utajibu wewe.
Akili zako zinakwambia kila unayemuona humu ni mtanzania
Shida yako unaishi kwa kukariri vitu.Utajibu wewe.
Animals don't conquer natural disasters they either flee instinctively or perish.Then why man has failed to conquer natural calamities if he has mind?
Sawa mfilipino.Shida yako unaishi kwa kukariri vitu.
Akili zako zinakwambia kila unayemuona humu ni mtanzania
Hicho unacho kiita intelligence unathibitishaje unacho?Animals don't conquer natural disasters they either flee instinctively or perish.
Conquering nature doesn't mean stopping earthquakes or hurricanes. It means understanding them and reducing their impact. Humans use science to predict disasters, build resilient infrastructure, and coordinate rescue efforts. We don't control nature, but unlike any other species, we use intelligence to adapt, prepare, and save lives.
😆😆 Reference ni Nchi ya MalawiUngeishia hapa ingetosha sana
Kwa wanyama boya likijaribu kuusogelea uongozi litazuiliwa hata kwa kipigo kikali, na ikiwezekana litauawa kabisa. Ila kwa upande wa binadamu wenye akili ndio hukaa pembeni na kuachia mabwege yapambanie uongozi, mwisho wanabaki kushangaa mambo yakienda ovyo!
think am not wrong to say you are animal and thats why you know more about yourself. Ask your dog or your nyau to go and buy you a bread for tommorrow. Bro sometimes u are right but sincerly speaking you are wrong 120%. And dont tell me the owner of this thread is a donkey please.You have the answer.
Tena wengi Wanauwezo wa kuhisi hatari kuliko hata binaadamuHicho unacho kiita intelligence unathibitishaje unacho?
Kwa sababu hata wanyama wengine wana adapt na ku prepare kuepukana na natural disasters.
Sasa kitu ni kilekile afanyacho mwanadamu.
Mwanadamu ana adapt, ana prepare na kusave live. Wanyama pia wakiona hali ya hatari kama ukame wanahama eneo hilo haraka. Wana prepare vilevile.
Wala hakuna intelligence yoyote hapo.
Alikua hakujui atheist mbobevu analeta mambo ya yesu wa middle eastGod doesn't exist.
Binadamu anataka kujiona yeye ndiye kiumbe mwenye akili kuliko wote.Tena wengi Wanauwezo wa kuhisi hatari kuliko hata binaadamu
Binaadamu ni mpaka atumie vifaa like camera , Radar etc
But Kuna wanyama before ya storm kuja wanahisi hiyo hali ghafla wanachama kwenye hayo mazingira au wana Anza kupiga makelele mfarasi ni mmoja wapo
Binadamu anapenda kujimwambafy sana.I agree with you 100%
View attachment 3638151View attachment 3638151
- Sisi mpaka leo watu wanalala kwenye veranda za maduka ya watu, lakini ndege wanajenga viota very smart kwa udongo na nyasi
- Ndege na wanyama wengine wana sense majanga na kuhama in advance lakini sisi ndiyo hao.
- Ndege na wanyama wanarithisha hulka na tabia kwa watoto vizazi na vizazi, sisi mara Gen A, Gen B, ...Gen Z
Ukimwambia binadamu asuke hicho kiota hata kwa mwaka mzima hataweza
Hiyo akili unaweza kuthibitisha unayo?Binadamu ndio kiumbe mwenye akili kuliko viumbe wote duniani, inaweza isiwe kwenye ulimwengu wote au milk way Galaxy, huo ni mjadala mwingine.
Hata wanyama wapo madume wanaokulana wenyewe au watoto wanakulana na wazazi.Hiyo akili unaweza kuthibitisha unayo?
Wanaume wanaokulana wenyewe na wao wana hiyo akili?
Wewe umekaza tu fuvu unabishia mambo ambayo ni most obvious.Hicho unacho kiita intelligence unathibitishaje unacho?
Kwa sababu hata wanyama wengine wana adapt na ku prepare kuepukana na natural disasters.
Sasa kitu ni kilekile afanyacho mwanadamu.
Mwanadamu ana adapt, ana prepare na kusave live. Wanyama pia wakiona hali ya hatari kama ukame wanahama eneo hilo haraka. Wana prepare vilevile.
Wala hakuna intelligence yoyote hapo.