Animals are smarter than Human beings. Man is not smarter than animals

I think what you saying is human are born incomplete to environment tha other animals, but humans are very intergent than other living creature.
 
Ni kweli kabisa wanyama wanaakili kuliko binadamu. Assume binadamu wa Tanzania akiona Diamond anavaa bwanga naye hufanya hivyo hivyo, hata ikitokea diamond akisema ushoga si kitu kibaya binadamu wengi sana Tanzania watakuwa mashoga.

Kwa wanyama akili kama hizi za kupumbavu huwezi kuzikuta.
 
If human is intelligent, why does he need to study the nature first before designing something?

For example in aviation, man needed to study how do birds fly, before coming up with the idea of wings.

If man is intelligent, why can't he solve the ultimate mysteries of nature?
 
I agree that animals also adapt and prepare for danger, but the difference is the level and method of preparation.

Mnyama akihama wakati wa ukame anafuata mostly instinct na biological signals. Human intelligence inaonekana pale tunapoweza kuelewa sababu za tukio, kukusanya taarifa, kufanya predictions, kuunda technology, na kupanga suluhisho hata kabla hatujakumbana na tatizo.

Kama adaptation pekee ndiyo ingekuwa kipimo cha intelligence, basi kila kiumbe kinachobadilika kingekuwa na kiwango sawa cha akili. Lakini uwezo wa kutengeneza maarifa mapya, kuyahifadhi, na kuyatumia kubadilisha mazingira ndiyo unaotofautisha binadamu.
 
Mwanadamu mwerevu anashindwaje kuzuia magonjwa yasiwepo kabisa duniani?

Hiyo human intelligence ilishindwaje kuondoa na kudhibiti magonjwa yasiwepo kabisa duniani?

Kwa sababu kuku hana hiyo akili ya kutibu wala kuzuia chochote.

Lakini Mwanadamu unayedai ana akili kashindwa kuondoa kabisa magonjwa yasiwepo duniani.

Sasa hii ni akili gani inashindwa kuondoa magonjwa yasiwepo kabisa duniani?
 
Hata wanyama wapo madume wanaokulana wenyewe au watoto wanakulana na wazazi.
Sawasawa.

Lakini sisi binadamu hichi tunacho kiita akili kinatusaidia kweli?

Maana sisi pia tuna hangaika kuishi hapa duniani kwa mahangaiko na mateso licha ya kwamba tunadai tuna akili.

Sasa kama na sisi tuna teseka, hii akili tunayodai kwamba tunayo mbona imeshindwa kutuondolea mateso na shida ya hii dunia?
 
Unlike wanyama na ndege binadamu Walsh ana uwezo wa kuyatibu na kuyazuia hayo magonjwa yasienee.

Vipi kuhusu mnyama ambaye hata akili ya kutambua tu uwepo wa ugonjwa unaeza kumuangamiza?
Yaani ikitokea huyo mnyama akipata maambukizi binadamu asipoweka juhudi za kumtibu huyo mnyama atapukutika ndani ya siku chache
 
Hii unayoita Akili ya binadamu bado imeshindwa kuelewa kwa nini tupo hapa duniani.

Akili ya binadamu imeshindwa kuelewa na kudhibiti hali za kimazingira kama radi, vimbunga, matetemeko ya ardhi na mafuriko.

Tumeshindwa kutatua hali zote hizo, imebidi na sisi tu-adapt hivyo hivyo tu.

Hichi tunachoita human intelligence mbona kuna vitu vingi tu kwenye mazingira tunashindwa kuelewa.?

Tunabaki tu hatuelewi elewi, kama hao wanyama wengine.
 
Mnyama ambaye hana akili ya kutambua uwepo wa ugonjwa unaoweza kumwangamiza na binadamu mwenye uwezo wa kutambua ugonjwa na majanga yawezayo kumwangamiza lakina hana uwezo wa kuzuia yasiendelee kumwangamiza, wana utofauti gani?

Kuku hawezi kutambua kideri kinaweza kumwangamiza, Binadamu anatambua Kansa inaweza kumwangamiza lakini bado kashindwa kuzuia kabisa kansa isiendelee kumwangamiza.

Sasa hapa binadamu ana tofauti gani na kuku?

Kwa sababu mwisho wa siku wote wana angamia. Kuku asiye na utambuzi anakufa na kideri. Binadamu mwenye utambuzi anakufa kwa kansa licha ya utambuzi na hiyo akili yake.
 
Ni kweli akili ya binadamu bado ina mipaka. Hatuelewi kila kitu kuhusu ulimwengu na hatuwezi kudhibiti kabisa nguvu za asili kama matetemeko ya ardhi, radi au vimbunga.

Lakini hilo halimaanishi kwamba hakuna tofauti kati ya akili ya binadamu na uwezo wa wanyama.Intelligence haimaanishi kujua kila kitu au kuwa na nguvu juu ya kila kitu; maana yake ni uwezo wa kuchunguza, kuuliza maswali, kutafuta majibu, kugundua kanuni za asili na kubuni njia za kukabiliana na changamoto.

Wanyama pia hu-adapt, lakini binadamu ameweza kwenda hatua zaidi: kugundua chanzo cha magonjwa, kutengeneza dawa, kutuma vyombo angani, kujenga mifumo ya tahadhari za majanga na kuhifadhi maarifa kwa vizazi vijavyo.

Kutokuweza kutawala kila kitu hakufuti uwepo wa intelligence. Mtoto ambaye hajui kila kitu bado ana akili kuliko jiwe kwa sababu ana uwezo wa kujifunza na kuelewa zaidi.
 
Vifaa ambavyo ili uvitengeneze na kuvitumia unapaswa kwanza kuua uwezo wako wa Asili kuditect hayo na kuua hata afya yako ya mwili pia.
 
Hujawahi kufuga wanyama kama mbuzi wawe wote madume?

Huwa wanapandana.. survival for the fittest. Wale wadhaifu hupandwa sana
 
Hujawahi kufuga wanyama kama mbuzi wawe wote madume?

Huwa wanapandana.. survival for the fittest. Wale wadhaifu hupandwa sana
Wanapandana tu, lakini dushelele zao hawazipenyezi katika puru.

Tofauti na binadamu ambapo mdinya bila kujali hili wala lile huzamisha dushelele lake kunako puru la mwanaume mwingine almanusura makende nayo yaingie.
 
Unazungumza kama Mwafrica au mtu wa Ulimwengu wa tatu aliyejikatia tamaa ya maisha ambaye story kubwa kwake zinazomzunguka ni za Dotto Magari, Mwijaku, matajiri wa Katoro, uchawa, Lissu Mahakamani, miondombinu mibovu n.k Raia wa USA, Ulaya, Canada, Japan, Singapore, China, Taiwan au Australia ambao wana story za vumbuzi za teknolojia, movies, space, top music books, archeology, games n.k wana mawazo tofauti kabisa na haya yako.
 
Wanapandana tu, lakini dushelele zao hawazipenyezi katika puru.

Tofauti na binadamu ambapo mdinya bila kujali hili wala lile huzamisha dushelele lake kunako puru la mwanaume mwingine almanusura makende nayo yaingie.
Inapenya kabisa.. mara kibao nilikuwa nikikuta sperms zinatoka kunako jagina kabisa
 
Siku nikiona mnyama anamfuga binadamu labda kidogo ntaona una hoja otherwise Binadamu ana akili sana kumzidi mnyama.
 
Ukilinganisha na mnyama, Binadamu haangaiki kuishi duniani, anaishi.

Hichi unachokiita mateso ni illusion sababu ya kufikiri na ni kichochezi cha matumizi ya akili zaidi.

Kila miaka inavyokwenda binadamu anafikiri namna ya kurahisisha maisha na kila mwaka anapiga hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…