Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
- Thread starter
- #301
Hata mimi sina mzuka na Kaiju No 8 huwezi amini hadi leo sijaangalia Season 2Kaiju season two sijaangalia sina mzuka nayo sana au kwa vile nilisoma Manga yake....
Lakin hata Solo Leveling nilisoma pia ila ilivyoanza kutoka niliichek yote