Anime

Kaiju season two sijaangalia sina mzuka nayo sana au kwa vile nilisoma Manga yake....


Lakin hata Solo Leveling nilisoma pia ila ilivyoanza kutoka niliichek yote
Hata mimi sina mzuka na Kaiju No 8 huwezi amini hadi leo sijaangalia Season 2
 
Uko vizuri
Nimeanza kuangalia Black Clover niko episode ya 61, hii anime ni kali sana
 
Chinese Donghua zimewaacha japanese anime mbali baada ya uwekezaji wa Tencent,Bilibili....masterpiece kama Swallowed Star,Soul land,Renegade immortal
Tupe list kamili mkuu tuanze kuchek


Chinese nimeangalia Moja ya Seven na yenyewe bado haijaisha
 
Niliangalia mpka 120 nikachoka nitalud kuimalizia😃
Mwenyewe naiangalia taratibu sana nikipata muda wa free. Sina haraka nayo najua itafika siku nitaimalizia maana ni kali sana
 
Chinese Donghua zimewaacha japanese anime mbali baada ya uwekezaji wa Tencent,Bilibili....masterpiece kama Swallowed Star,Soul land,Renegade immortal
Mmh kuzidi Japan sidhani
Unajua Wajapani wanatoa good works nyingi sana kila mwaka, kuliko hata wamarekani upande wa Animated series
Za Kichina kama zipi unarecommend tuzijaribu
 
Uzi wa watoto wanaojiita watu wazima. Mtu mzima huwezi angalia katuni ukisingizia jina la kizungu animation
Mtoto hawezi zielewa na haziwezi kumfurahisha. Nyingi ni mahsusi kwa ajili ya wanaozielewa kama mleta uzi.

Ni sawa na wale wanaopenda zile bongo movies za youtube, wewe unaweza waona jau, hazieleweki, hawajui kuigiza, hazina uhalisia ila wao ni wanazikubali kwasababu wanazielewa vizuri.

Katuni za watoto nyingi huoneshwa kupitia channels kwenye ving'amuzi vyenu.
 
Hakika mkuu. Muhimu kila mtu aangalie kinachompa furaha, hatuwezi wote kuwa waangaliaji wa taarifa ya habari saa mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…