Hahahah anampunga????ANITA BUNONO NI NANI,
Ni mjasiriamali mbobezi katika biashara ndogondogo kwa muda mrefu hapa mkoani Kagera, Msomi aliyebobea katika sekta ya ugavi na mnunuzi kutoka chuo cha CBE cha jiji Dar es Salaam akifanya biashara binafsi na uzoefu wa kutosha katika kuanzisha miradi kwenye mashirika kama Action Aid international chini ya ofisi ya makamu wa rais na mradi wa kuchuja maji chini ya ofisi ya waziri mkuu.
MIPANGO YAKE KWA SASA
Kama mzaliwa na mkoa wa kagera kutoka wilaya ya Kyerwa alikosomea shule yq msingi na sekondari katika familia ya wazazi walimu waliomlea kwa maadali, uthubutu, utu wema na kusadia jamii yake sasa anataka kusadia jamii yake sio mkoa wilaya aliyozaliwa bali mkoa mzima :
1.kupigania mtoto wa kike kupata fursa za kielimu bila vikwazo Mkoa mzima wa kagera.
2.Kutoa elimu ya ujasiriamali kwa wanwake wa mkoa wa kagera kama programu maalumu yabkuinua pato la mwanamke katika mkoa mzima .
3.Kuunda programu maalumu ya kutoa mikopo kwa wajasiriamali wanwake wa mkoa wa kagera
4.Kupambana na ukatili wa wanawake na watoto wa kike katika mkoa wa kagera kwa kuunda programu maalumu ya kutoa elimu ya kupambana na ukatili na athari zake kwa jamii
5. Kuunda mtandao wa usawa wa kibiashara kwa wanawake ili waweze kukua kwa haraka kibiashara na kupambana sawa na wanaume
6.Kutoa elimu ya teknolojia ya kusaidia ukuwaji wa wafanyabiashara wadogo wadogo wa kike mkoani Kagera hasa walio pembezoni mwa miji ili kufikiwa na fursa za kibiashara.
7.Kuibua miradi ya maji salama yaliyochujwa ujuzi alionao kwa miaka mingi chini ya shirika la Action Aid international.
8.Kufugua programu ya mikopo yenye liba nafuu kwa mwanamke na mtoto wa kike mkoani Kagera
Anita Bunono anajipambua kwa uhakika na dhamira ya kupambania haki,fursa kwa mtoto wa kike wa mkoa wa kagera katika mazingira ambayo naye ameyaishi tangu utotoni
USSR View attachment 3381959
Hakika, mke wangu akigombea ubunge, akitoka kuchukua form mimi naendea talaka, Ina maana tunapishana mlangoni. Nikirudi nisimkute kwangu.ANITA BUNONO NI NANI,

Alafu unalalamika watoto wa watawala wanapoteuliwa kuendesha nchi?Hakika, mke wangu akigombea ubunge, akitoka kuchukua form mimi naendea talaka, Ina maana tunapishana mlangoni. Nikirudi nisimkute kwangu.
Utawala wa kufedheheshwa na wa zinaa bora nikate mkaaAlafu unalalamika watoto wa watawala wanapoteuliwa kuendesha nchi?
Umegusa sio mkuuHuyu atapewa viti maalumu ili akawe chakula cha wabunge wenye VVU huko Dodoma. Halafu anaonekana anapenda sana katerero.
Mwambie asibague jinsia, apiganie woteAnitha Bunono ndio tunaimani jipya kwa mwanamke na mtoto wa kike mkoni Kagera 2025-2030
DUUU.MBONA MREMBO SANA HIVI? AMEOLEWA AU BADO? KAMA HAJAOLEWA ASIENDE BUNGENIANITA BUNONO NI NANI,
Ni mjasiriamali mbobezi katika biashara ndogondogo kwa muda mrefu hapa mkoani Kagera, Msomi aliyebobea katika sekta ya ugavi na mnunuzi kutoka chuo cha CBE cha jiji Dar es Salaam akifanya biashara binafsi na uzoefu wa kutosha katika kuanzisha miradi kwenye mashirika kama Action Aid international chini ya ofisi ya makamu wa rais na mradi wa kuchuja maji chini ya ofisi ya waziri mkuu.
MIPANGO YAKE KWA SASA
Kama mzaliwa na mkoa wa kagera kutoka wilaya ya Kyerwa alikosomea shule yq msingi na sekondari katika familia ya wazazi walimu waliomlea kwa maadali, uthubutu, utu wema na kusadia jamii yake sasa anataka kusadia jamii yake sio mkoa wilaya aliyozaliwa bali mkoa mzima :
1.kupigania mtoto wa kike kupata fursa za kielimu bila vikwazo Mkoa mzima wa kagera.
2.Kutoa elimu ya ujasiriamali kwa wanwake wa mkoa wa kagera kama programu maalumu yabkuinua pato la mwanamke katika mkoa mzima .
3.Kuunda programu maalumu ya kutoa mikopo kwa wajasiriamali wanwake wa mkoa wa kagera
4.Kupambana na ukatili wa wanawake na watoto wa kike katika mkoa wa kagera kwa kuunda programu maalumu ya kutoa elimu ya kupambana na ukatili na athari zake kwa jamii
5. Kuunda mtandao wa usawa wa kibiashara kwa wanawake ili waweze kukua kwa haraka kibiashara na kupambana sawa na wanaume
6.Kutoa elimu ya teknolojia ya kusaidia ukuwaji wa wafanyabiashara wadogo wadogo wa kike mkoani Kagera hasa walio pembezoni mwa miji ili kufikiwa na fursa za kibiashara.
7.Kuibua miradi ya maji salama yaliyochujwa ujuzi alionao kwa miaka mingi chini ya shirika la Action Aid international.
8.Kufugua programu ya mikopo yenye liba nafuu kwa mwanamke na mtoto wa kike mkoani Kagera
Anita Bunono anajipambua kwa uhakika na dhamira ya kupambania haki,fursa kwa mtoto wa kike wa mkoa wa kagera katika mazingira ambayo naye ameyaishi tangu utotoni
USSR View attachment 3381959
KUMBE MKE WAKO? DAAHHakika, mke wangu akigombea ubunge, akitoka kuchukua form mimi naendea talaka, Ina maana tunapishana mlangoni. Nikirudi nisimkute kwangu.
Akipata utakuwa unaenda naye bungeni, mipesa yote hiyo kwanini msiambatane?Utawala wa kufedheheshwa na wa zinaa bora nikate mkaa
Mwanamke na pesa, mwanamke na siasa ni vitu viwili tofautiAkipata utakuwa unaenda naye bungeni, mipesa yote hiyo kwanini msiambatane?
Zinaa labda afanyie vyoo vya bungeni, huku nje una kaba.
Huyu mpaka aupate huo ubunge uchi utawaka moto maana ataanza chapwa na vijana. Wajumbe. Wazazi mpaka baraza la wazee anaupata ubunge na kuanza kumeza njuguANITA BUNONO NI NANI,
Ni mjasiriamali mbobezi katika biashara ndogondogo kwa muda mrefu hapa mkoani Kagera, Msomi aliyebobea katika sekta ya ugavi na mnunuzi kutoka chuo cha CBE cha jiji Dar es Salaam akifanya biashara binafsi na uzoefu wa kutosha katika kuanzisha miradi kwenye mashirika kama Action Aid international chini ya ofisi ya makamu wa rais na mradi wa kuchuja maji chini ya ofisi ya waziri mkuu.
MIPANGO YAKE KWA SASA
Kama mzaliwa na mkoa wa kagera kutoka wilaya ya Kyerwa alikosomea shule yq msingi na sekondari katika familia ya wazazi walimu waliomlea kwa maadali, uthubutu, utu wema na kusadia jamii yake sasa anataka kusadia jamii yake sio mkoa wilaya aliyozaliwa bali mkoa mzima :
1.kupigania mtoto wa kike kupata fursa za kielimu bila vikwazo Mkoa mzima wa kagera.
2.Kutoa elimu ya ujasiriamali kwa wanwake wa mkoa wa kagera kama programu maalumu yabkuinua pato la mwanamke katika mkoa mzima .
3.Kuunda programu maalumu ya kutoa mikopo kwa wajasiriamali wanwake wa mkoa wa kagera
4.Kupambana na ukatili wa wanawake na watoto wa kike katika mkoa wa kagera kwa kuunda programu maalumu ya kutoa elimu ya kupambana na ukatili na athari zake kwa jamii
5. Kuunda mtandao wa usawa wa kibiashara kwa wanawake ili waweze kukua kwa haraka kibiashara na kupambana sawa na wanaume
6.Kutoa elimu ya teknolojia ya kusaidia ukuwaji wa wafanyabiashara wadogo wadogo wa kike mkoani Kagera hasa walio pembezoni mwa miji ili kufikiwa na fursa za kibiashara.
7.Kuibua miradi ya maji salama yaliyochujwa ujuzi alionao kwa miaka mingi chini ya shirika la Action Aid international.
8.Kufugua programu ya mikopo yenye liba nafuu kwa mwanamke na mtoto wa kike mkoani Kagera
Anita Bunono anajipambua kwa uhakika na dhamira ya kupambania haki,fursa kwa mtoto wa kike wa mkoa wa kagera katika mazingira ambayo naye ameyaishi tangu utotoni
USSR View attachment 3381959
Bora waende huko nao wakizipata nasi tupate mishangazi.Mwanamke na pesa, mwanamke na siasa ni vitu viwili tofauti