PreGE2025 Anitha Bunono ndio tunaimani jipya kwa mwanamke na mtoto wa kike mkoni Kagera 2025-2030

PreGE2025 Anitha Bunono ndio tunaimani jipya kwa mwanamke na mtoto wa kike mkoni Kagera 2025-2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ANITA BUNONO NI NANI,
Ni mjasiriamali mbobezi katika biashara ndogondogo kwa muda mrefu hapa mkoani Kagera, Msomi aliyebobea katika sekta ya ugavi na mnunuzi kutoka chuo cha CBE cha jiji Dar es Salaam akifanya biashara binafsi na uzoefu wa kutosha katika kuanzisha miradi kwenye mashirika kama Action Aid international chini ya ofisi ya makamu wa rais na mradi wa kuchuja maji chini ya ofisi ya waziri mkuu.

MIPANGO YAKE KWA SASA
Kama mzaliwa na mkoa wa kagera kutoka wilaya ya Kyerwa alikosomea shule yq msingi na sekondari katika familia ya wazazi walimu waliomlea kwa maadali, uthubutu, utu wema na kusadia jamii yake sasa anataka kusadia jamii yake sio mkoa wilaya aliyozaliwa bali mkoa mzima :

1.kupigania mtoto wa kike kupata fursa za kielimu bila vikwazo Mkoa mzima wa kagera.

2.Kutoa elimu ya ujasiriamali kwa wanwake wa mkoa wa kagera kama programu maalumu yabkuinua pato la mwanamke katika mkoa mzima .

3.Kuunda programu maalumu ya kutoa mikopo kwa wajasiriamali wanwake wa mkoa wa kagera

4.Kupambana na ukatili wa wanawake na watoto wa kike katika mkoa wa kagera kwa kuunda programu maalumu ya kutoa elimu ya kupambana na ukatili na athari zake kwa jamii

5. Kuunda mtandao wa usawa wa kibiashara kwa wanawake ili waweze kukua kwa haraka kibiashara na kupambana sawa na wanaume

6.Kutoa elimu ya teknolojia ya kusaidia ukuwaji wa wafanyabiashara wadogo wadogo wa kike mkoani Kagera hasa walio pembezoni mwa miji ili kufikiwa na fursa za kibiashara.

7.Kuibua miradi ya maji salama yaliyochujwa ujuzi alionao kwa miaka mingi chini ya shirika la Action Aid international.

8.Kufugua programu ya mikopo yenye liba nafuu kwa mwanamke na mtoto wa kike mkoani Kagera

Anita Bunono anajipambua kwa uhakika na dhamira ya kupambania haki,fursa kwa mtoto wa kike wa mkoa wa kagera katika mazingira ambayo naye ameyaishi tangu utotoni

USSR View attachment 3381959
Let us stop misleading our voters, even within CCM, since when was ACTION AID INTERNATIONAL where Anitha is claiming to have served to be under the " Office of the Vice President"? Also Water Filtration Project being under the PM Office? This chick is just not a Civil Servant in the Government, but rather as phrased in Swahili "Mshauri Mwelekezi, which means a freelance Consultant, not a Government Employee. Let her correct her misguided profile and we can then evaluate her to see if she deserves the position she is is vying . Personality Yes, but Up stairs, she has to proof herself. In My opinion, she still has a mountain to climb against heavy weights of the likes of Hajath Halima Burembo who seems to be the favourate with lots of experiences and god farhers. The name is big in CCM than that of Anitha. 5 TENA !
 
Huyu mpaka aupate huo ubunge uchi utawaka moto maana ataanza chapwa na vijana. Wajumbe. Wazazi mpaka baraza la wazee anaupata ubunge na kuanza kumeza njugu
Umemsahau MNEC Pia Yeye ndiye atapaswa kutangulia wengine wafuate. Itifiki lazima kuzingatiwa. Mpaka sasa nadhani tayari zamu yakei. Chakula ya CCM !
 
DUUU.MBONA MREMBO SANA HIVI? AMEOLEWA AU BADO? KAMA HAJAOLEWA ASIENDE BUNGENI
Hiyo sura bandia. Ukitaka na wewe unaenda Uturuki au China unakuwa kama yeye within an hour of Plastic surgery and body reshaping ! But dont change your gender please !
 
Back
Top Bottom