Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani takataka, sielewi hata imeishia wapi. miluzi ya insta inawatia ujinga sana awa watoto wa mtwaraKuna watu wa kuwapa mda Ila sio hyo takataka
Wazee wenzangu tumepata binti mwenye sauti real. Huyu Ajella nimefuatilia alivyokuwa akiimba cover na single yake aliyoitoa juzi. Kweli huyu binti sauti yake ipo vizuri.
Mimi ninamsihi aendelee kuwa mnyenyekevu atafika mbali sana. Wasanii wengi hawawezi kuimba live.
But Anjella anaweza. Ninaona kwa mbali the real sound ya kuja ku replace Ruby hii hapa.
Mimi sijui Ruby alikwama wapi. But Ruby yupo vizuri sana.
Naona una kiburi cha uzima mpaka unaita wenzio takataka. Acha kujisahau haya ni maisha tu ndugu.Kuna watu wa kuwapa mda Ila sio hyo takataka
Kabisa aisee Mimi naimba ila nishakata tamaa kua msanii mkubwa nafanya shughuli zingine tu huku nikiimba kama hobby.Siko upande wowote wa makundi ya muziki. Lakini kama mnadhani ni rahisi kuwa msanii mkubwa, jaribuni nyie kuimba.
Tuwe na heshima kwa wenzetu sio vizuri kumuita mtu takataka wakati hajakukosea kwa loloteKuna watu wa kuwapa mda Ila sio hyo takataka