Anker products special Threads

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,495
Reaction score
5,025
Hello wadau habari zenu,nikiwa mdau na mnazi wa kampuni ndogo ndogo zinazochipukia,Nimetumia bidhaa mbili tatu ,ikiwemo charger na pia hizi Bluetooth speaker πŸ”Š ,nimejikuta naipenda na bei zao ni nzuri Sana.

Tujaribu kushea experience hapa ya hizi bidhaa na ufanisi wake au changamoto zozote ulizokutana nazo.

Karibuni wadau
 
Naunga mkono oja mie ni mnazi pia wa Anker sound core 2 sijajuta kabsa kuwa nazo

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Soundcore motion boom plus iko njiani kutoka may 30ikiwa na maboresho makubwa sana wadau mjipange kwa hili plz
 
Hii ni sound core 3 ila naona ukilinganisha na performance ya sound core 2 kama kama sound core 2 ipo juu zaidi

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Unawrza ilinganisha na sony xba yoyote ? Nawapenda sony ila kupata products zao ni ngumu sana , Mlimancy zipo ila bei imechangamka
 
Soundcore motion boom plus iko njiani kutoka may 30ikiwa na maboresho makubwa sana wadau mjipange kwa hili
Unawrza ilinganisha na sony xba yoyote ? Nawapenda sony ila kupata products zao ni ngumu sana , Mlimancy zipo ila bei imechangamka
Anker iko njema sana sana
 
vp anker core2 ukiilinganisha na jbl flip4 au5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…