Anker products special Threads

Anker products special Threads

Anker ni Moja ya portable speaker nzuri mno sound yake ni very clear Ila JBL ni habari nyingine ingawa zinatofauti kiasi Ila JBL unaweza piga indoor na outdoor

Kwangu JBL ni best Na option yake ya partboost [emoji91][emoji91]
1669130430510.jpg
 
Ingekua ni mtihani umeshafeli hii ni thread maalumu ya anker na pia nililelenga hii kwa ajili ya watu wa kipato cha kati ,Imagine kama hio seapiano tu inamshinda mtu je Partbox ataiweza broo bei yake ikoje
Anker ni Moja ya portable speaker nzuri mno sound yake ni very clear Ila JBL ni habari nyingine ingawa zinatofauti kiasi Ila JBL unaweza piga indoor na outdoor

Kwangu JBL ni best Na option yake ya partboost [emoji91][emoji91]View attachment 2429863
Ni
 
Niliagiza china wiki mbili tu ukifika kama 200K ..Anker ziko poa sana kuhusu mdundo ni fire
 
Sijawahi kutumia wala kusikia kwa mtu mwingine kuwa Bluetooth speaker yake inaweza kutumika kwa masaa 15 bila kukata moto ila hii Anker soundcore min yangu inapiga mziki kwa saa 15 na ina base safi.
Safi kijana ,sasa fanya ku upgrade uende hatua ingine man
 
Back
Top Bottom