Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Hiyo redio wanakaa more than 6 months bila kulipwa nani atavumilia kwa usawa huumbona kama namsikia TBC FM sijui nini kimeisibu Sahara media
Wazee wenzangu wapenzi wa redio hasa rfa juzi apa napita mtaani nikaskia sauti ya presenter bora kabisa wa miaka ya 2000s anatema cheche
Uyu ndugu nilipata kumkubali sana hasa kwenye kipindi cha solid flash back
Nataka kujua kama amerudi nianze kumfatilia
Yuko serikalini mkuu sikuhizi, sikiliza TBC fm utampata vilivo
Bado yupo TBC FM
Hiyo redio wanakaa more than 6 months bila kulipwa nani atavumilia kwa usawa huu
Kwani alikuwa wapi!?
TBC FM.....Sikuwa najua alipo
Jumatatu mpaka ijumaa kuanzia saa tisa alasiriAnasikika siku gani