Anko sam amerudi R.F.A?

Anko sam amerudi R.F.A?

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,654
Wazee wenzangu wapenzi wa redio hasa rfa juzi apa napita mtaani nikaskia sauti ya presenter bora kabisa wa miaka ya 2000s anatema cheche

Uyu ndugu nilipata kumkubali sana hasa kwenye kipindi cha solid flash back

Nataka kujua kama amerudi nianze kumfatilia
 
Yuko serikalini mkuu sikuhizi, sikiliza TBC fm utampata vilivo
 
Jamaa alifanya poa sana pale RFA kuanzia 2003 baada ya kuondoka Lazaro Matalange ni kati ya watangazaji wakali walioipaisha mno RFA.
 
Back
Top Bottom