TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

Ni nini kimemuua?Tunapaswa kujua hili ili kama ni Corona watu wawe serious zaidi katika kujikinga.
Kuna rafiki yangu ametoka kuzika ndugu yake Machame, ananiambia KCMC hali ni mbaya sana, na Mount Meru Arusha ndio mbaya zaidi. Sasa sijui kama mama kachukuliwa na mdudu lakini hii Covid version Delta ni noma, tuchukue tahadhari
 
Back
Top Bottom