TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

Sijawahi kukutana na huyu Mama live, but nilijikuta namuhusudu mno kwa uungwana wake wa machoni.

Pole nyingi kwa familia na wote walioguswa na msiba wake.

Pumzika kwa Amani Mama Anna Mghwira, mbele yako nyuma yetu 😭😭
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina lake Libarikiwe
 
Dah poleni wafiwa, Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina Lake litukuzwe
 
..Kilichojili hadi Mama Anna kufariki ....Zaidi ya wiki moja iliyopita alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Nkoaranga kwa tatizo la kupumua ambapo baadaye hali yake kuwa mbaya alihamishiwa hospitali ya Mount Meru
 
Hakuna u-serious wowote wa kujikinga na Corona utafanikiwa bongo. Solution ni chanjo tu.
Kweli hakuna umakini pamoja na kuwa JPM halikuwa anaipuuzia lakini team yake ilikuwa makini cha ajabu Mama haipuuzii lakini team yake imepooza sana na hii wave hatari sana kuliko zote, hakuna hata elimu yotote serous inatolewa kuhusu Corona
 
Back
Top Bottom