TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

Hakika kifo chako kimeniumiza mno. Watu tulikupenda na kuheshimu kama kiongozi wa mfano. Rest in Eternal Peace#Mama Anna Elisha Mghwira.
 
Yaani poleni Sana Wana Kilimanjaro. Walimpenda Sana huyu mama mpaka walimpa picha waliyomchora wakamwanbia ndiyo picha aliyobaki mioyoni mwao. Watasikitika Sana. Bado ulikuwa mioyoni mwao.
 
Maisha ya ndoa tafadhali
 
Mama huyu alikuwa hana parapara wala hakuwa na majivuno. Kwa mhemuko unaweza kusema mtu mzuri ameondoka na aliyetegemewa limebaki zombi kama wewe
 
Juzi Mzee wa TCU leo Mama Anna! kweli kirusi cha Delta kipo. Lakini watanzania hawataki kuambiwa ukweli.
Viongozi wa dini Mungu anawaona , munachangia sana kupotosha wa Tanzania, kwa Mungu hampo na Sayansi hamuijuwi. Majanga yalikuwepo toka enzi ya kina Yakobo hakuna kitu kipya chini ya jua , chukueni taadhari. Washirika wenu wanakufa kila siku kwa ugonjwa wa Corona lakini wa kwanza kusema nchi yetu haina corona. Yaani shetan anawashangaa. Kuomba hamuombi, taadhari hamuchukuwi, kila mchungaji amekua mwanasiasa, acheni hayo mambo. Mungu ametupa akili ya kumtumikia. Mtumikieni Mungu katika Roho na kweli. chukueni taadhari, Corona ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…