Elections 2010 Anna Kilango kutorudi bungeni...?

Huyu mama ni vuvuzela tu, eti mpiganaji! Anapigania ugali wake na si kwa watu wa Same. Hayo ndio mambo ya demokrasia, jimbo si mali yake. Ndio siasa zetu bongo, kichwani hamna kitu, lakini mdomo mali yake. Kupiga kelele anaweza lakini kuongoza ni sifuri. Huyu mama, alikua anauhakika wa kuingia ikulu, sasa inawezekana kelele zote ni kwa machungu ya kukosa. Siku hizi naona majimbo kwa kabila, yani lazima uwe mmachinga kugombea umachinga...kazi kweli kweli
 

Fantastic comments, it sound so good.Ur a good reader of books.Well done M_kishuri.
 
Ahsante sana Bangusule
MTENDA AKITENDWA HUWA NONGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…