Wenzio washalipwa mpunga.View attachment 2327329
Salama wandugu,
Hii nchi mbona double standard sana ,
Waliwafanyia interview watu ili kuwapa kazi sasa kama walikuwa hawana hela za kuwalipa hao maafisa wangetangaza ajira za kujitolea kuonyesha uzalendo
Ingefaa zaidi uzalendo waanze wabunge na mawaziri wasilipwe posho ili haki itendeke.
Hawa watu nawaonea huruma sana maana watakuwa kama machinga watasugua sori za viatu for nothing
Mimi nadhan Kuna Kaz za serikali zinahitaji uzalendo hata Kama unalipwa.Unaweza ulipwe pesa nyng ila Kama unaifany hyo kazi bila moyo wakupenda unaweza kuharibu.View attachment 2327329
Salama wandugu,
Hii nchi mbona double standard sana.
Waliwafanyia interview watu ili kuwapa kazi sasa kama walikuwa hawana hela za kuwalipa hao maafisa wangetangaza ajira za kujitolea kuonyesha uzalendo.
Ingefaa zaidi uzalendo waanze wabunge na mawaziri wasilipwe posho ili haki itendeke.
Hawa watu nawaonea huruma sana maana watakuwa kama machinga watasugua sori za viatu for nothing
Hakuna Cha uzalendo,we unafiki ile KAZI bure Kuna mtu angijokeza ? Hata wewe usingeomba, na ukitaka kuwapata wazalendo inatakiwa KAZI zote matangazo yawe hivyo ,Mimi nadhan Kuna Kaz za serikali zinahitaji uzalendo hata Kama unalipwa.Unaweza ulipwe pesa nyng ila Kama unaifany hyo kazi bila moyo wakupenda unaweza kuharibu.
Makinda kusema hvy hamaanish watu hawatalipwa,maana yake nikwamba watu wasifanye Kaz kwa kuwa inapesa Bali wafanye kwa moyo mkuu(uzalendo).
NB: Niliomba hii kazi nikakosa ila nawatakia waliopata kufanikisha vzr zoezi hili muhimu.