Anna Makinda: Maombi ya Ukarani wa sensa ni Bure

Anna Makinda: Maombi ya Ukarani wa sensa ni Bure

Monica Mgeni

Member
Joined
Oct 7, 2021
Posts
82
Reaction score
134
Kauli ya mama Anna Makinda kamisaa wa sensa amesema Maombi ya Ukarani wa sensa Ni Bure na tumeishatoa mwongozo na watu wanaomba kuwa makarani wa Sensa kwa maendeleo ya Taifa letu Tanzania
 
La msingi PENYE UZIA PENYEZA RUPIA
NA kuna rais mstaafu aliwahi kusema
ILI ULE USIOGOPE KULIWA
 
Kwahiyo hiyo mwenye stationary anaekufanyia hiyo kazi ya kudown/upload MB anatoa wapi? Wazee wa muhuri watapigaje?
Hela za hizo huduma utatoa ila hili zoezi ni bure
 
Kwahiyo hiyo mwenye stationary anaekufanyia hiyo kazi ya kudown/upload MB anatoa wapi? Wazee wa muhuri watapigaje?
Hela za hizo huduma utatoa ila hili zoezi ni bure
Fact.
Mimi nimekwenda stationary kuprint page nne 2000 kuscan baada ya kujaza 2000 na kwa mwenyekiti 5000 jumla 9000 then wanasema bure
 
Jamni mnisaidie changamoto ya upatikanaji wa password,Manake lila nikiapply wanasema nishaapply
 
Back
Top Bottom