Anna Makinda

Anna Makinda

Hapa mada ni kuhusu spika kuwa au kutokuwa na mtoto...na ndicho nilichocomment mimi....kwamba ni utashi wake binafsi....na ndio nikatoa mfano wa Oprah, asivyowanyima Wamarekani wenzie usingizi, coz wanaheshimu na kuelewa nini maana ya maisha binafsi.

Sina tatizo mtu kuja na stori kwamba spika aliiba choclate supermarket, au alimpiga kibao mlinzi wake wa getini...la hasha...ila hili la kuolewa au kutoolewa......kuwa na wa/mtoto au kutokuwa nao....mmmmh......hebu tufanye kazi tumuache mama yetu alale.

Mtoto wa mwenzako ni wako...so hata mimi ni mtoto wake.

Uko kama jina lako, haya tueleze wewe basi umeshagundua dawa ngapi mpaka leo au umevumbua nini?
 
I cant imgine being on her top!!!!

Ah mkuu si unamfunika tu na mfuko ule was kaki wa karatasi ambao unautoboa tundu kidogo ili aheme then mzee una-dowload mzigo kama kawa!!
 
Huyu mama jamani mi nampenda sijui nifanyaje ili nimmiliki she's very very very beutifuly i luv her from botton of heart
 
utajiri wa maskin wa ni maumbile japo mkuu wa kaya katisha
 
Uko kama jina lako, haya tueleze wewe basi umeshagundua dawa ngapi mpaka leo au umevumbua nini?

Mimi ndiye ninaye hakiki kama jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi kila siku...na hiyo sio kazi ndogo aise.
 
kuuliza habari za kuoa au kuolewa na kuwa na watoto ni kuingilia masuala binafsi ya mtu tena ya siri/faragha, it is against human rights!! LOL

Hilo ni swali au mada? Kama ni mada unataka tuchangie kuhusu nn maana kama suala la kuwa na watoto au kuolewa hamuwezi kumjadili mtu humu hz ni haki zake na chaguo lake ktk maisha yake. Ila kama ni swali bs linalenga katika kujua nn zaidi ya alivyo?. Ninavyofahamu mm hy siyo mada haina miguu wala kichwa. Lakini pia hata kama hana watoto bs watoto wake ni cc kwani ni spika wa bunge letu la jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Hapa mada ni kuhusu spika kuwa au kutokuwa na mtoto...na ndicho nilichocomment mimi....kwamba ni utashi wake binafsi....na ndio nikatoa mfano wa Oprah, asivyowanyima Wamarekani wenzie usingizi, coz wanaheshimu na kuelewa nini maana ya maisha binafsi.

Sina tatizo mtu kuja na stori kwamba spika aliiba choclate supermarket, au alimpiga kibao mlinzi wake wa getini...la hasha...ila hili la kuolewa au kutoolewa......kuwa na wa/mtoto au kutokuwa nao....mmmmh......hebu tufanye kazi tumuache mama yetu alale.

Mtoto wa mwenzako ni wako...so hata mimi ni mtoto wake.

Hapa tunamzungumzia kiongozi wa mhimili wa nchi(bunge).kwa wadhifa wake tunatakiwa tumjue yeye na familia yake.
Angekuwa mtumishi Wa kawaida wa serikali haina haja sana ila kwa nafasi ya speaker hapana,lazima tujue.
 
Mwacheni mama yetu apumzike..kuweni na adabu....fikirieni kama mama zenu wakifanyiwa hivi mtajisikiaje?msijifanye hamna akili...
 
Ngojeni sheria mpya isainiwe l upango kutawahusu
 
Hivi Anna Makinda ameolewa? Anna watoto?

Yes Ana mtoto mmoja anakaa USA .Alizaliwa 1975 na baba ake ni MZEE mpangala Yule wa CCM alifariki.Na alimzaa kwenye ujana tu .Aneitumikia serikali ya Tanzania kwa miaka 52 sasa .
 
Yes Ana mtoto mmoja anakaa USA .Alizaliwa 1975 na baba ake ni MZEE mpangala Yule wa CCM alifariki.Na alimzaa kwenye ujana tu .Aneitumikia serikali ya Tanzania kwa miaka 52 sasa .

Anaitwa nani?
 
Back
Top Bottom