Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Amemzidi Makonda?
Makonda naye kaoa wanawake mapacha? 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amemzidi Makonda?
Makonda alisema kabisaMakonda naye kaoa wanawake mapacha? 😁
Makonda alisema kabisa
Kuna wakati huwa anajisahau bwana ,,Mimi Kuna mtoto wa brother wangu Kuna wakati alikuwa anadhani Mimi ndiye baba yake, kutokana na kufanana kwetu kulivyoMtoto mama yake anamjua kwa harufu yake, jinsi anavyokua uwezo wa kunusa hupungua na tayari anakuwa ameshamjua
Raha wasifanane.Duu!!
Jamaa anakula Raha za dunia aisee!!
Wote kwa pamoja?
Ni Laltaeka sio laitekaWe umeshawahi waona Dr Eliamani na Dr Elifuraha Laiteka
Hawawezi fanana hadi mbususu mkuu..Raha wasifanane.
Hapo anaona kama anakula mmoja tu kwa sababu wamefanana
Kama ni hivyo wanawake watumie papuchi as finger prints, vidole watuachie sisi Wanaume. NIDA fanyieni kazi hili wazo.Wanadai papuchi ni kama alama za vidole, kila moja ni tofauti kabisa na nyingine. Ndio wanaume haturidhiki na moja.
Likitokea hilo, hata kwa kuhonga nitaenda ku apply kazi NIDA kitengo cha finger print, au kwa hili tuseme 'pussy print' 🤣🤣Kama ni hivyo wanawake watumie papuchi as finger prints, vidole watuachie sisi Wanaume. NIDA fanyieni kazi hili wazo.
Huwajui Johari na Mwanaisha wewe.Anna na Lucy DeCinque ni mapacha "waliokithiri". Dada hao wenye umri wa miaka 35 kutoka Perth, Australia, wanajiona kuwa "mtu mmoja" na wanasisitiza "kufanana" kwa kila njia - ikiwa ni pamoja na mchumba wao wa pamoja mwenye umri wa miaka 37, Ben Byrnes, ambaye wanasisitiza kulea naye watoto wanaishi na mpenzi wao nyumba moja na kulala kitanda kimoja.
huwa wanapataga mimba kwa pamojaHapo mmoja wao akipata mtoto,
Mtoto atakua anajichanganya sana kumjua Mama yake mzazi ni yupi hasa!
Wa arusha? Basi mmoja wapo alinifundisha chuo. Mwenzake sikuwa muona ila nasikia wanafanana ile mbayaWe umeshawahi waona Dr Eliamani na Dr Elifuraha Laiteka