warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Huyu demu ni moto wa kuotea mbali aiseeh, ni comedian wa Uganda nadhan, ana kipindi chake maarufu kinaitwa DONT MESS WITH KANSIIMA dah bidada anakamua hatariii, yaani navunjikaga mbavu sana.
Kuna clip yake moja ivi yupo road ana drive c akakutana na traffic, traffic akataka driving licence , demu akatoa akampa, kumbe ilikuwa ime expire , traffic akaanza kuzingua kwa nini anatembea na expired driving licence? ,demu akamjia juu akamwambia kwa hyo unadhani licence yangu iki expire na skills zangu nazo zime expire za kuendesha gari?
Dah demu ni mtambo sana, sema clip zake na vituko vyake vinakuwa na facts ndani yake , bidada ni mwendawazimu hatari , burudani sana, kazi zake ni nzuri, sio mbaya kuzitazama zinaburudisha na kufuraisha, KANSIIMA salute kwako