Anne Kansiime..

Anne Kansiime..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Huyu demu ni moto wa kuotea mbali aiseeh, ni comedian wa Uganda nadhan, ana kipindi chake maarufu kinaitwa DONT MESS WITH KANSIIMA dah bidada anakamua hatariii, yaani navunjikaga mbavu sana.

Kuna clip yake moja ivi yupo road ana drive c akakutana na traffic, traffic akataka driving licence , demu akatoa akampa, kumbe ilikuwa ime expire , traffic akaanza kuzingua kwa nini anatembea na expired driving licence? ,demu akamjia juu akamwambia kwa hyo unadhani licence yangu iki expire na skills zangu nazo zime expire za kuendesha gari?

Dah demu ni mtambo sana, sema clip zake na vituko vyake vinakuwa na facts ndani yake , bidada ni mwendawazimu hatari , burudani sana, kazi zake ni nzuri, sio mbaya kuzitazama zinaburudisha na kufuraisha, KANSIIMA salute kwako
 
Attachments

  • 1393697001728.jpg
    1393697001728.jpg
    4.8 KB · Views: 1,076
  • 1393697022214.jpg
    1393697022214.jpg
    7.8 KB · Views: 1,073
Hahahhaha ni comedian wa ukweli na ka mwili chake akiigiza mtoto kanakubali

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Yeah yuko vizuri asee nampenda sana always nå shule pia anayo ya kutosha ukicheki profile yake she is good ....
 
Aisee hua ananichekeshaa huyu kama ile yule mwanaume anamuambia amrudishie nyumba yake nae akamjibu nae amrudishie uzuri wake maana ameumaliza wote alikua ana tak@ limeishaa loll
 
Yuko sawa sana kipindi chake huwa sikosi kila jtano citzen tv saa moja na nusu
 
Aisee hua ananichekeshaa huyu kama ile yule mwanaume anamuambia amrudishie nyumba yake nae akamjibu nae amrudishie uzuri wake maana ameumaliza wote alikua ana tak@ limeishaa loll

Aaaah aah alimwambia amrudishie na hisia zake zote alizompa na kamtumia hadi t@ko lote limeisha, anadai eti alikuwa na shepu na wezele, yule mtambo sana
 
Mi nampenda jaman huyu dada,yan unaenjoy kumwangalia....sio hawa wenzetu,sehem za kusikitisha,ye anatabasam,akiamka asubuhi ana mek-up uson kama anaenda kuozeshwa....
hongera sana Anne..keep it up!
 
hahaaaa!! madam anamgombeza mwenye nyumba meen!
 
Last edited by a moderator:
duh! is that how you introduce your x to your wife? hahaaaa!! amazing!

Last edited by a moderator:
Excel yaani huyu dada kiboko I love the one mumewe anamueleza kwa nini hafanyi family planning sasa wana watoto sita guess what she replied.... You men are the ones need to do family planning instead of making us wearing bullet proofs you need to remove the bullets on your gun and shoot blunt..... Ha ha haaaa
 
hahaaaa!!

hii hapa!

dada noma aisee!

............. until she get an obama! hahaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom