Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
Namkubali sana uyo dada anachekesha. Mwez huu au ujao naweza kwenda Kampala nitamtafuta nifanye naye interview harafu nitaleta apa JF
Nina clip zaidi ya mia za huyu bidaa
Elimu na Kipaji ukivichanganya pamoja unapata bonge moja la mseto. Ila kipaji kikikaa peke yake bila elimu,hapo utakuja umaarufu wa muda usio na mashiko.
Tulimuona Mr. Bean alikuwa na elimu akajumlisha na kipaji chake nadhani kila mmoja anajua nini kikatokea na ameacha kitu gani mpaka sasa.
Leo hii tunamtazama Anne kama mtu mwenye mafanikio kwa kuwa elimu na kipaji vimekuja pamoja. Tatizo la hawa wakwetu shule wanakimbia na wanataka kuishi maisha ya Hollywood...
"Nlikuwepo":bolt:
Ameshaolewa.
Umesema sahihi tupu ndugu.
Najaribu tu kuwaza, ukimchanganya huyu mdada na Erick Omondi yule wa kenya hilo kolabo lake litakuwa la kuvunja mbavu!!!!!!