Anne Kansiime..

Anne Kansiime..

Huyu manzi kiboko sana,huya siishiwi kucheka kila nitazamapo video zake.Accent yake ya kiganda ndo inaongeza manjonjo balaa pia na shule imo kichwani anajua anachokifanya.

Halazimishi audience icheke ila utacheka mwenyewe. Mwaaa Annie Kansiime
 
Elimu na Kipaji ukivichanganya pamoja unapata bonge moja la mseto. Ila kipaji kikikaa peke yake bila elimu,hapo utakuja umaarufu wa muda usio na mashiko.
Tulimuona Mr. Bean alikuwa na elimu akajumlisha na kipaji chake nadhani kila mmoja anajua nini kikatokea na ameacha kitu gani mpaka sasa.
Leo hii tunamtazama Anne kama mtu mwenye mafanikio kwa kuwa elimu na kipaji vimekuja pamoja. Tatizo la hawa wakwetu shule wanakimbia na wanataka kuishi maisha ya Hollywood...

"Nlikuwepo":bolt:
 
Namkubali sana uyo dada anachekesha. Mwez huu au ujao naweza kwenda Kampala nitamtafuta nifanye naye interview harafu nitaleta apa JF
 
Kansiime ni noma sana dah hakunaga
 
Elimu na Kipaji ukivichanganya pamoja unapata bonge moja la mseto. Ila kipaji kikikaa peke yake bila elimu,hapo utakuja umaarufu wa muda usio na mashiko.
Tulimuona Mr. Bean alikuwa na elimu akajumlisha na kipaji chake nadhani kila mmoja anajua nini kikatokea na ameacha kitu gani mpaka sasa.
Leo hii tunamtazama Anne kama mtu mwenye mafanikio kwa kuwa elimu na kipaji vimekuja pamoja. Tatizo la hawa wakwetu shule wanakimbia na wanataka kuishi maisha ya Hollywood...

"Nlikuwepo":bolt:

Umesema sahihi tupu ndugu.
Najaribu tu kuwaza, ukimchanganya huyu mdada na Erick Omondi yule wa kenya hilo kolabo lake litakuwa la kuvunja mbavu!!!!!!
 
Erick Omondi nae ni balaa! Ana kipaji noma
 
Back
Top Bottom