Anapinga Watanzania walio nje kushikirishwa katika kura za maoni ya Katiba Mpya. Anasema Bungeni jioni hii kwamba logistics za kuwezesha zoezi hilo kufanyika dunia nzima ni gumu au haliwezekani coz Watanzania wametapakaa kila kona ya dunia ikiwemo Afghanistan!!