GE2025 Anne Kilango: Naombeni mniongezee miaka 5 nikamalizie kazi ya kugawa Halmshauri ya Same nilishaanza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Mmoja wa watia nia nafasi ya Ubunge CCM jimbo la Same mashariki, Anne Kilango Malecela akijinadi na kuwaomba Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo hilo kumchagua ili aende kumalizia kazi aliyoianza ya kugawa halmashauri ya Same.

Anna ametoa kauli hiyo wakati wa zoezi la kujitambulisha kwa wajumbe na kuomba kura katika kata ya Vunta, Kirangare, na Bwambo.

Wagombea saba waliopitishwa na CCM kuwania Ubunge katika jimbo hilo wakiongozwa na Anne Kilango anayetetea jimbo hilo wengine ni Miryam Mjema, Andrea Chezue, Adam Mzee, Dkt. Peter Kibacha, Nickson Mjema, na Daud Mambo walipata fursa za kunadi sera zao.

Hakuna kiongozi yeyote duniani anayeweza kumaliza kazi hata huko Marekani hakuna kitu kama hicho.

Huyu Mama Ubunge anataka kugeuza kama ni jina la ubini wake, awaachie wengine atulie nyumbani amlee na kumpikia Mzee Malecela.

Huyu naye ni mlafi asiyetosheka kama Salma Kikwete.
 
Mmoja wa watia nia nafasi ya Ubunge CCM jimbo la Same mashariki, Anne Kilango Malecela akijinadi na kuwaomba Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo hilo kumchagua ili aende kumalizia kazi aliyoianza ya kugawa halmashauri ya Same.

Anna ametoa kauli hiyo wakati wa zoezi la kujitambulisha kwa wajumbe na kuomba kura katika kata ya Vunta, Kirangare, na Bwambo.

Wagombea saba waliopitishwa na CCM kuwania Ubunge katika jimbo hilo wakiongozwa na Anne Kilango anayetetea jimbo hilo wengine ni Miryam Mjema, Andrea Chezue, Adam Mzee, Dkt. Peter Kibacha, Nickson Mjema, na Daud Mambo walipata fursa za kunadi sera zao.

Uzur ameianza kazi,
Atakayekuja ataendelea tena huenda akaja na approach nzur zaidi!!
 
Huyu Bibi apumzike tu akaleee wajukuu hizo halmashauri tutazigawa huko mbele
 
Back
Top Bottom