Mkuu mi naona wanaigiza tu kule hakuna kitu kabisa!!Sasa huo ulikuwa mchango wa bajeti ya waziri mkuu au mipasho ya kuelekea uchaguzi, Mama alikuwa off point hapa, ila mwaka huu hata watoto watapata shikamoo kutoka kwa wazee.:hungry:
Mdau Br. Qadhi, maelezo yako nadhifu.
Kumfananisha thinker Muhammad Yunus na wachumia tumboni akina Mwandosya na Mwakembe et al, ni kumtusi kwa herufi kubwa Dr.Yunus.
Nilishatoa rai kwamba Tz haihitaji wabunge wala wanasiasa, sababu ninazo japo nyingine sitaziweka wazi kwa sababu fulanifulani. In stead nilishauri ni vyema wataalam wa huko mawilayani wawe empowered ktk mifumo ya taarifa (IT), sera na ujuzi..wangeweza kufanya kazi bora zaidi ya kuwakilisha mawazo na matatizo ya wananchi kuliko mchezo wa kuigiza unaofanywa na watu kati - wabunge, kwa gahrama ya juu, ambao hata hivyo HAWANA TECHNICAL KNOWHOW..bali kazi kujitiatia tu wengine hata kuumba hati hawajui.
Way forward kwa nchi yetu kupiga hatua ni kuondoa taratibu INFLUENCE YA SIASA na mwisho kufikia taifa ambalo linaendeshwa na mifumo ya kufikia maamuzi na sio kufanya maamuzi.
Duh Mwalimu wa University anang'ang'ana na yeye kuwa mhishimiwa mbunge..Kweli bongo tambarare.
Ukiuliza watakwambia ' aah kugombea ni haki ya kikatiba kwa kila Mtz aliyefikisha miaka 18!'.Mkuu huko ndo kwenye za kuchukua vyepesi vyepesi wakati unapiga domo kaya!!
Huyu Dr. ni mjasilia mali, ana mradi wa shule ya sekondari pale ubungo; nadhani anataka a-loby vizuri mambo yaende. Bongo tambarare...
this just shows us how our country is... focus ipo kwenye vikao vya maigizo dodoma!!!!Duh Mwalimu wa University anang'ang'ana na yeye kuwa mhishimiwa mbunge..Kweli bongo tambarare.
Siasa ni uzushi, sasa ulitegemea nini?Mimi naona wote hawa wawili wanamatatizo tu. Dr. Kadeghe ni mzushi; Anne Kilango naye ni mzushi vile vile.
IMO nilitarajia mtu ukifikia ngazi ya ualimu wa walimu, unatakiwa uji-distance na upande wowote ule kwene ishu yeyote ile, ili uwe ktk nafasi nzuri ya kutumia ujuzi wako kuielimisha jamii, kuikosoa au kutoa muongozo na mambo kama hayo. Ukishauza roho yako kwa tabaka tawala ualimu wa walimu becomes useless..na uganga njaa unatia timu.this just shows us how our country is... focus ipo kwenye vikao vya maigizo dodoma!!!!