Elections 2010 Anne Kirango Malecela amethibitisha hana ubavu Moshi Mjini!!

Elections 2010 Anne Kirango Malecela amethibitisha hana ubavu Moshi Mjini!!

MovingForward

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2009
Posts
489
Reaction score
49
Pamoja na kuahidi kuweka kambi moshi mjini, mpaka CHADEMA ing'oke, Anne Kirango Malecela amethibitisha kushindwa kwake!!. Kichwa kilichovimba kimepwaya ghafla.
 
Ubavu atoe wapi wakati hakunusa kule kipindi chote cha kampeni?
 
pia na Ole sendeka alipiga kambi moshi pale pasua akipasua VITU bila mafanikio yoyote.
 
Anamaumivu mzee katoswa kule Dodoma... asingeweza kupata muda wa kwenda Moshi!! kwi kwi kwi kwi
 
Back
Top Bottom