Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Umbea. Ujumbe wake wa bodi mbalimbali unaweza kumpatia hizo hela. Na ukumbuke huyo niHamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
ni maeneo yake alinunua toka 200x.Hiyo Nyumba Chunguza ni plot yake alipaga mtoto wa Ndugu yake alijenga hiyo Nyumba na amefariki so ameichukuwa hiyo nyumba kodi analipia ada watoto wa marehemu.Kuwa makini siku nyingine kabla ujapost kitu.Je unaweza weka copy ya nyaraka za kuuziana hizo sehem hapa??Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo nyumba amewanunulia wajukuu, Anna umri umeshaenda!
Mbali ya ujumbe wa Bodi mbalimbali pia amekuwa Mtumishi kwa muda mrefu na pengine ana miradi halali inayomuingizia kipato N.K.Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Kuhusu hilo la milioni 900 sina ushahidi nalo.....Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Makinda anakaribia miaka 90 kwa umri sasa hayo majumba ya nini?Bwashee cjakuelewa
Inategemea kama Ana vyanzo vingine kama vile mashamba ya miti , kilimo nkHamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Makinda anakaribia miaka 90 kwa umri sasa hayo majumba ya nini?