Mbekenga
JF-Expert Member
- Jun 14, 2010
- 3,262
- 8,144
Angalia picha ya kuchanganya udongo wa muungano nasikia yeye ndo kashika vifaa. Kama alikwisha ingia kwenye connection kipindi hicho mpaka leo ana connection unategemea akose mamilioni? Mi naliona kama mfano wa kuigwa tujifunze kuwekeza badala ya kuendekeza anasa la sivyo tutawapachika watu dhambi wasizokuwa nazo. Na angekuwa kabila fulani uzi ungesema Makinda ana akili ya kutafuta pesa.