Umasikini wa roho ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania wengi wenye roho za kimasikini!. Wakiona tuu mtu anakitu, lazima waingie wivu na kuanza kuhoji kapata wapi utajiri!. TZS Milioni 900 ni pesa ndogo sana kwa mtu aliyelitumikia taifa kwa uadilifu maisha yake yote, ila hata wewe, kama una dhamana ya kueleweka, na una business plan ya ukweli, unakwenda kukopa bank 1. B na unapata kesho yake tuu, tatizo liko wapi?.
Viongozi wengi wa serikali waliokopeshwa nyumba za serikali, wamezitumia nyumba hizo kama dhamana, wameandika michanganuo ya kueleweka, wakakopeshwa na benki mabilioni, na kufanya investments za maana.
Acha wivu, na wewe get rich, or die trying!.
P