Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍Inategemea kama Ana vyanzo vingine kama vile mashamba ya miti , kilimo nk
Kwani na wewe si unakula pensheni yako? Acha kutuzuga. [emoji1][emoji1]Sawa acha ale nchi, wenzie nchi inatula
👍Kiinua mgongo Cha Mbunge wa kawaida 250m.kila baada ya miaka 5 je Cha Spika?jumulisha miaka yote alivyokuwa Mbunge.
Mimi tangu nipo s/msingi nilikuwa namsikia huyu mama Mara RC,kweli asiwe na pesa?
Mbege wanakunywa watu wenye akili"Vijana mjiajiri siyo mnasoma tu ili kutegemea kuajiriwa ilihali muda huo huo yeye mwenyewe mtoa ushauri ni muajiriwa anayekunja M 14 kwa kila mwezi"
Alisikika mropokaji mmoja mtaa flani akiwa anakunywa mbege.....[emoji124][emoji87]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
👍Mama aliwekeza kwenye kilimo na ufugaji huyo,
Plus kiinua mgongo cchake, na isitoshe ana kopesheka kwenye taasisi za fedha kulingana na Mali alizonazo
👍🤣hivi kumbe ukiwa mtumishi huruhusiwi kumiliki hela mingi?
🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Unapenda sana matusi mkuu....Chama cha mafisadi
Wanavyoipenda ccm hadi kumwaga damu za wanaowapinga we huwa unadhani wanafanya ujinga?Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Chuki itakuzeesha wewe....Chini ya ccm usitegemee uzalendo.
Mstaafu mwenzako bwashee.Hiyo nyumba amewanunulia wajukuu, Anna umri umeshaenda!
👍Vipi Spika? Mama huyu hakuwa fisadi.
Ungekuwa unatumia angalau robo ya akili zako usingegusia habari za wabunge.Unapenda sana matusi mkuu....
Mafisadi wanajulikana.....wale wanaopeana ubunge wa viti maalum kwa tiketi ya UDUGU ,USHEMEJI ,NA NGONO......ndio maana yule "dada kisauti" akachomoa betri......
Kumbe hajanunua mama kanunua mwanae kingine kumhamisha mtu makazi yake sio kazi ndogoUnamjua vizuri? una hakika na hili unalomsemea?? Mama Makinda ana mtoto (Binti wa Kumzaa mmoja ) na pia anakaa na watoto wa dada na wadogo zake.Binti ake Jina lake linaanzia na J Spika mimi namfahamu toka Tunakaa nae maeneo ya Seaview Upanga akiwa Waziri wa Wizara ya Wanawake na Watoto.Those Days watoto waliokuwa kwake We where friends and mara nyingi tulikuwa tunashinda kwake during the weekends watching Movies and Recorded CNN news Bulletins from VHS Tapes borrowed at EMPIRE MOVIE THEATER VIDEO LIBRARY Karibu na Mavuno House Posta mpya
👍Mukopo kwenye mabenki hawakopeshi,!?Jibu hapo kwanza!
Wazee walishakufa na coronaChuki itakuzeesha wewe....
Two wrongs does not make one right....Ungekuwa unatumia angalau robo ya akili zako usingegusia habari za wabunge.
Maana ndani ya ccm kuna watu wameingia na familia zao kuanzia watoto,mama na wajukuu.