Dunia ilishaachana na mfumo wa ujamaa, na Tanzania haifuati tena Azimio la Arusha, everything is business bro, Rais wa Zambia ni mzalishaji na mfugaji mkubwa wa maziwa na nyama na anauza, zambia, Botswana hadi angola huko, ulitaka amuachie nani yaani biashara hata kazi unayofanya wewe kama umeajiriwa ni biashara, trump ni multi dollar billionea kwahiyo ulitaka aendelee kua mfanyakazi wa tyson milele acha hizo people are hustling day and night wakionesha matokeo kidogo mnapiga kelele, hasa kitu tunachopinga ni only corrupt leaders lakini wapambanaji hapana tuwape pongezi zao leo huwezi kusema hichelema awaachie na blah blah wakati kahuslte kufika kwenye peak hiyo