Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

Kwa miaka zaidi ya 30 akiwa mbunge 900m kwake ni fedha ndogo sana.
 
Acha waibe. Na mi nikifika huko nitaiba . Pambaffff
 
Afadhali unamfahamu kidogo sometime JF wanawapakazia watu vitu sio sahihi nipo USA nasikia kuna mtoto wa makinda huku ndo maana nilistuka japo simfahamu lakini wapo wabongo wengi wanamjua
 
Uwe spika wa bunge mstaafu, unakosaje hivo vihela? Mkuu acha utani
 
Afadhali unamfahamu kidogo sometime JF wanawapakazia watu vitu sio sahihi nipo USA nasikia kuna mtoto wa makinda huku ndo maana nilistuka japo simfahamu lakini wapo wabongo wengi wanamjua
Ya yupo huko anaishi na kufanya kazi na ameolewa na ana Watoto pia
 
Alikua Mtumishi wetu miaka zaidi 30 !!..alawekeza fedha yake kwenye biashara!!..Unataka awe omba omba!!..Mwacheni ale mema ya Nchi...
 
Mkuu ni 2.7 trillions 2016/2017 alikwapua hazina 1.5 trillions na 2017/2018 alikwapua 1.2 trillions zote hizi CAGs Assad na Kichere waliandika kwenye ripoti zao za mwaka.
Huwa na shangaa akili yako!
 

Umesema vizuri, ila ulipofika hapo kwenye u Zalendo mkubwa ndo umeleta changamoto ya kupumua
 
Nakubaliana na wewe...Mama Makinda hawezi kuwa fisadi....wasemeni wengine lakini siyo huyu Mama wa watu...
 
Hongera kwake makinda, senk yu vereee macheee
 
Superfeo yuko Mwamba Omari Msigwa,Felician Msigwa na Msigwa mwingine.Hiyo ya Makinda kumiliki superfeo labda utuletee Memarts tuone share.Superfeo ni brand ya akina Msigwa
Nimekusoma mkuu.
Vijiweni Kuna umbea mwingi sana
 
Na bado yupoyupo sana kwenye majukumu ya serikali! Jukumu lake ni moja tu kuunga mkono serikali kila jambo, ruzi, baya kweke poa!
 
Acha unafiki ufate yako

Chukua chako mapema,kweni alikua analipwa shingapi mshahara na posho? Kwni hakopesheki?

Punguzeni shobo
 
Lazima alidokoa mahali.
 
Angalia na mjengo wa prof mabalawa pale mwenge inapojengwa stand mpya ya dala dala. Jengo la umma limesimama kwa ukosefu wa fedha ila leo mtumishi wa umma linaenda kwa kasi ya ajabu. Ndio maana hawataki katiba mpya waendelee kutuibia na kunufaika
 
Watanzania ni wambea mno. Kuhoji maumiz ya 900m kwa mtu kama ANNA MAKINDA ni uvivu wa kufikiri. Amekuwa bungeni kwa miaka 40, toka 1975-2015 kupitia u RC, Viti maakum, kuchaguliwa.
Amekuwa mwenyekiti wa bunge na mjumbe wa PAC.
Amekuwa mkuu wa mkoa miaka 5.
Amekuwa waziri kwa mihula 3
Amekuwa naibu speakea 5yrs
Amekuwa speaker 5yrs.
Amekuwa mjumbe wa bodi mbalimbali kama NBC, TRC, TES, AUDITORS. LEGAL CORPS, TEXTILE COMPANIES, n.k
Chaman amekuwa mjumbe wa mkutano mkuu na halmashauri kuu 35yrs kamati kuu zaidi ya miaka 15, amekuwa kiongozi wa jumuia xa vijana na wazazi kwa miaka kadhaa
Ni mstaafu anakula pension kiulain na sijajua marekebisho za mafao ya viongozi kama yalimgusa speaker ninachokumbuka rais akistaafu mbali ya lump sum ataendelea kupata 80% ya mshahara wa rais aliyepo madarakan.
Hapo hatujaangalia kawekeza kiasi gani.
Kama hakuna scandal yoyote ya ufisadi hakuna mantiki kuhofia 900
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…