SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,789
- 3,413
Unamjua vizuri? una hakika na hili unalomsemea?? Mama Makinda ana mtoto (Binti wa Kumzaa mmoja ) na pia anakaa na watoto wa dada na wadogo zake.Binti ake Jina lake linaanzia na J Spika mimi namfahamu toka Tunakaa nae maeneo ya Seaview Upanga akiwa Waziri wa Wizara ya Wanawake na Watoto.Those Days watoto waliokuwa kwake We where friends and mara nyingi tulikuwa tunashinda kwake during the weekends watching Movies and Recorded CNN news Bulletins from VHS Tapes borrowed at EMPIRE MOVIE THEATER VIDEO LIBRARY Karibu na Mavuno House Posta mpya
Kweli unayoyasema nyumba yake seaview palw karibu na bahari miaka mingi sana mwanzo mwa 90 or mwishoni mwa 80s yes nimekulia mitaa hiyo pia ila nilikua mdogo sana