Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

Angalia na mjengo wa prof mabalawa pale mwenge inapojengwa stand mpya ya dala dala. Jengo la umma limesimama kwa ukosefu wa fedha ila leo mtumishi wa umma linaenda kwa kasi ya ajabu. Ndio maana hawataki katiba mpya waendelee kutuibia na kunufaika
Tukasema wanatwambia tuna wivu
 
Mm nafikiri wewe ndiyo mvivu wa kufikiria! Unaongea jumlajumla na kutaja cc ya makonda hapa! Ijulikane hapa kwamba hizo nafasi zote alizoshika ni za umma! Hoja ni je mtumishi wa umma alipataje ukwasi wote huo???
 
Ukipata nafasi tumia

Kwani nyie mnaolalamika humu tatizo si hamjapata channel tu

Ova
 
Kwani ukiwa kiongozi wa serikali hutakiwa kumiliki pesa? Acha wivu wewe mama Grace. Naona umemic Mayombi
 
Hivi akiwa kesi akaulizwa hyo hela kaitoa wapi,atatoka kweli?
 
Mtumishi wa kawaida kwa kipindi hiki siyo jambo la kushangaza sana kumukuta ana hela Billion moja ila ni la kujivunia kidogo. Ni jambo la kushangaza kumkuta tuseme ana Billion 10. Billion moja sasa hivi ni hela ya kawaida tu hata mimi ukinipa muda huu wala hainistui
 
Mm nafikiri wewe ndiyo mvivu wa kufikiria! Unaongea jumlajumla na kutaja cc ya makonda hapa! Ijulikane hapa kwamba hizo nafasi zote alizoshika ni za umma! Hoja ni je mtumishi wa umma alipataje ukwasi wote huo???
Pato rasmi la mbunge ni zaidi 1000ml kwa muhula 1 wa ubunge. Makinda amekaa mihula 8 bungeni. Hapo hujaongeza pato la uspika, unaibu spika, uwaziri, ukuu wa mkoa nadhalika. Sasa hapo unaanzaje kushangaa 900ml.
Au wewe unafikri mtumishi wa umma halipwi?
 
Sisi tuliosoma miaka ya ushindani mkubwa wa kupata ajira imekula kwetu...
 
Umbea. Ujumbe wake wa bodi mbalimbali unaweza kumpatia hizo hela. Na ukumbuke huyo ni
Mfanyakazi wa siku nyingi serikalini kwa vyeo vya juu hivyo unaweza kuta alikuwa ana save au kakopa.
Ukikopa unatakiwa kulipa, sio luzuku. Hakuna shirika la umma Tanzania linaweza mlipa mkurugenzi zaidi ya 5m kwa kikao. Usiwazuie takukuru kuingia kazini.
 
Umbea. Ujumbe wake wa bodi mbalimbali unaweza kumpatia hizo hela. Na ukumbuke huyo ni
Mfanyakazi wa siku nyingi serikalini kwa vyeo vya juu hivyo unaweza kuta alikuwa ana save au kakopa.
Naunga mkono hoja
 
Superfeo yuko Mwamba Omari Msigwa,Felician Msigwa na Msigwa mwingine.Hiyo ya Makinda kumiliki superfeo labda utuletee Memarts tuone share.Superfeo ni brand ya akina Msigwa
Hao wote Makinda kaweka mpunga hapo.hataki ajulikane kazi inaendelea.
 
Hivi unaposema "uzalendo mkubwa" unakiwa una maaana gani mkubwa???? naomba kuelimishwa kidogo!!

Ukishaona mtu naandika lugha hizo na Tanzania Kwanza sijui nini, kwanza jua ni kada, pili wengi wanakuwa wakujipendekeza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…