Watanzania ni wambea mno. Kuhoji maumiz ya 900m kwa mtu kama ANNA MAKINDA ni uvivu wa kufikiri. Amekuwa bungeni kwa miaka 40, toka 1975-2015 kupitia u RC, Viti maakum, kuchaguliwa.
Amekuwa mwenyekiti wa bunge na mjumbe wa PAC.
Amekuwa mkuu wa mkoa miaka 5.
Amekuwa waziri kwa mihula 3
Amekuwa naibu speakea 5yrs
Amekuwa speaker 5yrs.
Amekuwa mjumbe wa bodi mbalimbali kama NBC, TRC, TES, AUDITORS. LEGAL CORPS, TEXTILE COMPANIES, n.k
Chaman amekuwa mjumbe wa mkutano mkuu na halmashauri kuu 35yrs kamati kuu zaidi ya miaka 15, amekuwa kiongozi wa jumuia xa vijana na wazazi kwa miaka kadhaa
Ni mstaafu anakula pension kiulain na sijajua marekebisho za mafao ya viongozi kama yalimgusa speaker ninachokumbuka rais akistaafu mbali ya lump sum ataendelea kupata 80% ya mshahara wa rais aliyepo madarakan.
Hapo hatujaangalia kawekeza kiasi gani.
Kama hakuna scandal yoyote ya ufisadi hakuna mantiki kuhofia 900