#COVID19 Anne Makinda: Sensa ya watu na makazi haihusiani na chanjo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191

Kamisaa wa Sensa, Anne Makinda amesema baadhi ya watu wana imani potofu kuwa zoezi la uhesabu watu na makazi wanahusiana na chanjo ya #COVID19

Amesema hilo sio kweli, japo ni muhimu kwa wananchi kupata chanjo ya corona. Ambapo wanaendelea kutoa elimu kuhusu sensa itakayofanyika 2022

Aidha amesema vijana waliohitimu vyuo vikuu ambao wanajitolea maeneo mbalimbali watapewa kipaumbele katika kupewa ajira za kuhesabu watu

Amezungumza hayo akiwa Clouds Fm
 
Huyu ana vyeo vingapi? Spika mstaafu anahudumiwa na Serikali hadi kufa kwa stahiki 80% anazopata Spika aliepo.

Huyu huyu ni mwenyekiti wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF.

Kana kwamba haitoshi eti ni Kamisaa wa Sensa.. Serikali hii nchi mbona ina watu wengi kwa nini kurundika vyeo na majukumu kwa mtu mmja?
 
Ccm ni Ile Ile.
 
Halafu mnalalamikia ajira hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…